Siku ya hasira tanzania-sihata

Siku ya hasira tanzania-sihata

Technician

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2010
Posts
841
Reaction score
224
Wana-Jamiiforum Members and guests,nashauri iwepo siku ya HASIRA Tazania ili tuweze kuwaweka viongozi wetu kwenye mstari kipindi hiki cha mageuzi ya kiuchumu tuendane na soko huria na utandawazitusije achwa wazi bila chupi na mataifa ya Jirani kama Burundo,Rwanda na Uganda.
Hata Somalia watatupita muda si mrefu.
 
Tatizo letu wa Tanzania ni waoga...lakini itafika siku uvumilivu utatushinda!!!!
 
Back
Top Bottom