Usile mikate, maanadazi, wala egg chops, nk! Wameshakufa watu wawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usile mikate, maanadazi, wala egg chops, nk! Wameshakufa watu wawili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BIN BOR, Feb 15, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni sms inayosambaa kwa kasi jijini Dar na mikoani. Nimeinakili kama inavyosomeka ktk heading.
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  To general...sio mikate kutoka bakery zote jamani!!
   
 3. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  niliona habari kwa tv wakiitaja Royal Oven - sikuwa nimeipata vizuri. Kuna mtu mwenye details?
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sio yote ina sumu,suala ni kuangalia ubora wa mikate na vitu vingine kabla hujatumia.
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sipendi habari za style ya mini skirts.........Agrrrrrrrrrr
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni bakery moja huko mbezi beach na huenda ni ya yule mbunge alieachia jimbo kwa upinzani!!!!
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmmhhhh, lisemwalo lipo.....
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kama ni EGG CHOPS je ni mayai gani? Ni mayai ya kienyeji au ni mayai ya kisasa? Hembu kamilisha huu ujumbe tuweze kuuelewa!
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuna bakery moja ukivuka daraja la kawe (kama unaelekea kawe kutoka mikocheni) kabla ya kufika round about, ipo mkono wa kulia imepakwa rangi za njano njano hivi, kama ndio hii basi sitashangaa b'se kuna siku ndugu zaku walikua na kajimkutano flani wakanunua bites pale, wote waliumwa sana na matumbo baadhi yao walilazwa kabisa hospitali, ila tunamshukuru Mungu wote walipona
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mayai ya kichina
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  ni ugonjwa unaosababishwa na mayai ya kichina!waliokula hayo mayai kupitia egg chop wamedhurika !mayai ya kichina hayatagwi na kuku hutengenezwa kwa mashine!
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Öoh mungu wangu.
  Nishakula. Ngoja nisikilizie.
   
 13. j

  jaffery hassan Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WHERE IS TANZANIA BUREAU OF STANDARD?AU NDO 10% KWENYE MAISHA YETU?MAYAI YA KICHANA YAKOJE HEBU MNAYOYAFAHAMU TUELEZANE:bump:
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wamekwenda likizo
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kuna bacteria sugu nadhani wanaitwa salmonella
   
 16. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Heshima iko wapi? Nimesema nimenakili sms kama nilivyopokea, nadhani ubongo wako ndio miniskirt
   
 17. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ni habari za kweli kwani Carmel ameshaleta taarifa humu mnaweza kutafuta post yake.


  Nadhani ni mtu anayemfahamu aliumwa baada kula kwenye hio bakery.


  Badala ya kupuuzia ni vizuri mtu kujaribu kukaa mbali na bakery hio na kuwapa taarifa watu wako wa karibu.


  Serikali kama imeshindwa kukwagua bidhaa ni jukumu letu kufahamishana hili tuweze kuokoa maisha yetu.
   
 18. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  watu wawili tu ndio wanatengeneza hii generalisation?
  embu acheni kutiana woga..
  hii haina tofauti na wale ambao huwa wanaipeleka coca cola mahakamani wakidai wamedhurika baada ya kunywa coca wakati waliinywa pamoja na mavyakula mengine kibao....
  hao waliokula hiyo mikate na egg chop walikula vikavu??kwanini sumu isiwe kwene hizo chai au juice walizonywea??
   
 19. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Yako the same ya kuku wa kwetu huku!!!!!!!
   
 20. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hivi hata mayai yanakuwa imported from China????

   
Loading...