Nimeibiwa original kadi ya gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeibiwa original kadi ya gari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gamaha, Feb 15, 2011.

 1. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba msaada wenu nimeibiwa kadi original ya gari na vibaka waliovunja kioo cha gari na kuiba pamoja na vitu vingine. ni nini nahitaji kufanya police tayari nimetoa taarifa je nahitaji kwenda TRA pia. vipi kuhusu usarama wa gari.

  nawasilisha
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani hauna certified copy ya original card ya gari yako?
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kama umekwishakwenda Polisi na kupata report yao bila shaka kuna utaratibu wa kupata kadi original nyingine.

  Huyo aliye na kadi yako ya awali haimsaidii kwa vile haina jina lake - sana sana ni bomu kwake kwa sababu ya kuripotiwa polisi. Haiyumkini amekwishaitupa.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nenda polic na kopy yako utapewa lost report nikama sh mia tano, kisha unakwenda trafik unapitia kama hatua 3 pale ikiwemo kukagua gari kisha unakwenda tra na gari wanakagua unalipia 10000 unapewa kadi ingine
   
 5. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Thanks wakuu Pmwasyoke na Dr phone kwa ushauri wenu thanks alot wakuu
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Wala hakuna shida kama umeripiti polici. Nadhani unapaswa kuanza kushughulikia kadi mpya tra hasa baada ya kupata barua ya maelezo toka polisi!
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inasumbua kidogo maana lazima pia uende na faili lenye karatasi zote zinazohusiana na hilo gari. Ila TRA ni lazima pia uende. Kimbembe kitakuwa kama kadi hiyo haiko kwa jina lako!
   
 8. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  bahati nzuri iko kwa jina langu na nina documents zingine zote toka nalipia mpaka kulipata hapa dar. so i hope haitanisumbua sana
   
Loading...