tuliosoma st.kayumba tujikumbushie enzi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tuliosoma st.kayumba tujikumbushie enzi zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barbie Maliposa, Feb 14, 2011.

 1. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  enzi zile 2likuwa 2nasoma vitabu na hadithi kama:
  juma na roza(pipiii,simile nipite na motokaa yangu)
  sizitaki mbichi hizi
  pamela na kipini
  bulicheka
  fikiri mimi masikini
  edina na bustani

  Ongeza vingine unavyokumbuka
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kiswahili - Kuli, literature - The river between :coffee:
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Juma na Roza
   
 4. aye

  aye JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  Kibanga Kampiga Mkoloni
   
 5. doup

  doup JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mlimani -kitivo cha elimu
   
 6. K

  Kikambala Senior Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ngoswe kitovu cha uzembe,alfu lela ulela au siku elfu moja na moja.safari saba za sindibad,
   
 7. m

  mzambia JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  chopeko na mnofu

  sumbi ni mvivu

  mzee tola
   
 8. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Puluneki,Sadiki na Sikili,Hadithi za Abunuwasi,bulicheka,nk
   
 9. K

  KASRI Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiwa mtoto wa mwalimu, basi shambani huendi, hufagii kama wenzako na ni lazima uwe kiranja.
  Nilivaa viatu vinaitwa "gogo", jua likiwaka balaa - alafu ili ucheze na wenzako mpira lazima uvue maana wote wapo peku utawaumiza.
   
 10. LD

  LD JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Manenge na Mandawa
  Paka na samaki.
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Andunje na siafu.....
   
 12. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  mkoloni alikuwa anaitwa mr.brown :)
  mandenge na mandawa
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hivi vitabu vinapatikana wapi?
   
 14. P

  Pokola JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Musa, Neema, Baraka;
  Mr & Mrs Daudi ...
   
 15. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nilisoma ngarenaro kanumba school ilikuwa inaaminika kwa kutoa makapurwa waosha magari enzi hizo magari yanaoshewa mtoni na kulikuwa na mto hapo shuleni na waosha magari wakipiga msuba wanafunzi walikuwa wanaona ndio ajira pekee na ilikuwa inawashawishi sana kuacha shule na kuingia kwenye ajira chap, pia ngarenaro primary imetoa vibaka na majambazi wengi sana. Ashukuriwe mwalimu mkuu mwaipopo ndiye aliyekuja kuitengeneza ile shule maana alipohamia pale hata jeshi halikuwa hivyo kitu cha kwanza alijenga ukuta kwa kila eneo ambalo mwanafuzi angeweza kupita akaweka sehemu moja tu ya kuingilia na kutoke ambayo ipo karibu na ofisi , kwavile ilikuwa ni shule ya makatili walivunja vioo na madirisha hata yalipowekwa ya mbao yalivyunja mwaipopo akasema isiwe taabu akaziba madirisha yote kwa kuyajengea na tofali nafiki mpaka leo ukienda pale utakuta baadhi ya madirisha yakiwa yamejengewa kwa matofali, ukaanzishwa mchakamcha na kushika namba saa 12 mazee mwaipopo alikuwa anapiga balaa ingawa hata mtangulizi wake malisa alikuwa akikucha lazima uumwe wiki mbili mpaka wanafunzi wakawa wanasema ni sababu ya ulemavu wake wa miguu hivyo nguvu zote zimehamia mikononi, sitasahau vidumu vya kunyeshea bustani na fagio siku hizi sioni watoto wakibeba vidumu na mafagia kwanini? Mwalimu mkita alinisaidia sana kwenye somo la kiingereza.
   
 16. b

  bakarikazinja Senior Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hekaka mtoni ,aliyekula nadhiri na shetani,azimio ka arusha
   
 17. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sizitaki mbichi hizi,Dunia uwanja wa fujo by kezilahabi!
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ah? Shule ya Msingi Msasani, nakumbuka Mwl. Doya alinipa kitabu cha Kisiwa chenye Hazina(R. Stevenson), afta skul nikachikichia nacho maze!
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jaman,don let people cry,wakat huo,majina ya shule yaliyo kwenye vitabu ni MTAKUJA PRIMARY SCHOOL,MAWENZI,KIBO,oh kwa vitabu vya english,WALIMU WA UPE ndo walitamba
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi sikumbuki vitabu.
  Nakumbuka kombolela, makida makida na mdako.
   
Loading...