Tuanzishe peoples square

Tuanzishe peoples square

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,238
Reaction score
9,099
Kuna umuhimu wa kuwa na square hapa Tanzania ,hiyo iwe ni sehemu ya kukutana kwa wafurukutwa/wanaharakati wa maisha ya wazalendo wa nchi hii,huko Kenya kuna Kamukunji na Uhuru gardens,vilevile kuna square huko China,Uingereza,Urusi,Misri,
Mara nyingi kwenye hizo square ndiko unapata Peoples Power,nawakilisha
 
njoeni UDSM kuna level square ipo kwa malengo hayohayo ya kiuanaharakati.
 
This is a pretty good idea. An open area at the Old Post office in Dar es salaam would do for Dar es salaam. It's small but might serve the purpose.
 
haya yote yanawezekana kabisa..............lakini tunasubiri nini?.....mbona nchi za wenzetu walitumia mitandao namna hii na wamefanikiwa?.....................NIA TUNAYO, SABABU TUNAYO, NA UWEZO TUNAO PIA!
 
I feel it's best idea if the people's square is at or is close to city centre. Jangwani grounds or an open space at the Old Post office would do.
 
This is a pretty good idea. An open area at the Old Post office in Dar es salaam would do for Dar es salaam. It's small but might serve the purpose.
Kibali cha Polisi utapata? Au unataka risasi zilindime kila mnapojitokeza pale. Pale ni karibu na bandari. Mnaweza kupigwa risasi kwa kuhatarisha usalama wa bandari na kutotii amri "halali" za polisi. Itakuwa salama kama ni Tandika, Kawe au Kimara. Kwa muda angalao.
 
Tayari mnazi mmoja park ipo. Ama pale kwenye askari monument

mnazimmoja si open square mpaka uombe kibali. askari monument no round about tu. Nafikiri mleta hoja alimaanisha sehemu kubwa iliyo huru ukisimama hapa unakuwa na immunities zote na unaweza kutamka chochote na usikamatwa ilmradi uwe eneo hilo.
alimaanisha eneo kama Trafalgar Square pale jijini London, uingereza
 
Ni wazo zuri ila kwa nchi isiyokuwa na demokrasia km Tanzania ni kujiandalia machinjio yetu wenyewe kwa kua askari wetu wanachukulia being askari km leseni ya ku-utilize ubabe wao!
 
hiyo square si itakuwa na taarifa za kiintelijensia kila siku?.....hakuna atakayeweza kukutana hapo....maana hata nzi watahusishwa kwenye taarifa za kiintelijensia katika eneo hilo.
 
Tusiwe waongeaji tuuu tufanye kwa vitendo haswaaa na kwa kudhamiria toka moyoni! Hii inaitwa kufa au kupona
 
Back
Top Bottom