Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala imeunda timu maalum kuchunguza chanzo cha kifo cha Sabela Mganga(31) aliyefariki katika zahanati ya CHO ya Ukonga Mazizini baada ya kujifungua watoto mapacha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Case for Corporate Dress Guides Women walk a thin line when it comes to figuring out what to wear at work. Could up-and-coming, professional women benefit from a set of dress guidelines...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Educating Our Children: Catholic Schools Doing More With Less By Anne Marie Riha Published February 08, 2011 | FoxNews.com body { margin: 0pt; }img { border: medium none; }...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Your Excellency, I trust you are well as I am sure electricity and food shortage arent part of you rather they are part of your humble servants. Those can never be the problems of the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa jamani Kuna Chuo Kikuu kilianzisha maeneo ya Manzese kama sikosei, kikiitwa Regional University, ila kilikuwa na mgogoro wa usajili na Tume ya Vyuo Vikuu, kuna habari kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF naomba tumjadili majid Mjengwa kutokana na hizi makala zake dhidi ya CDM. Alianza na maandamano ya Arusha sasa amekuja na hili la wabunge kutoka nje kupinga ukandamizaji wa CCM dhidi ya...
0 Reactions
101 Replies
9K Views
KITUO cha televisheni cha ATN ( Agape Television Network) kitaonyesha mechi zote 19 za Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kuanzia hatua ya raundi ya 16 itakayoanza Jumanne ijayo. Kituo hicho ndicho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NDUGU ZANGU WATANZANIA NATAFUTA WATU WA KUNIUNGA MKONO , ILI TUANDAMANE KUELEKEA IKULU. NATAKA RAIS ATUAMBIE UFUMBUZI WA MASUARA HAYA MGAWO WA UMEME UTAISHA LINI? jamani kwa sasa hakuna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vilivyotoka leo, hapa tusipokaa sawa huenda dowans wakalipwa hayo mabilion wiki ijayo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hivi kuna ukweli wowote kuhusu population ya mkoa wa mwanza ni kubwa kuliko population ya chi ya zanzibar kama ni hivyo basi kumbe hata mwanza ni nchi huru kwani tunaona kura za diwani wa bara ni...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutokana na vishawishi vya kimapenzi kutokana na picha na meseji zinazoandikwa kwenye Facebook zimepelekea watu wengi wazisaliti ndoa zao na matokeo yake kumekuwepo na ongezeko kubwa la kuvunjika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, naombeni msaada wenu wa kimawazo katika hili. mimi ni mjasiriamali nina stationery nimepanga sehemu ambayo ina nyumba kubwa ndani. kutokana na ukubwa wa nyumba na wingi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna tatizo lisipotizamwa tutakuwa tunauana wenyewe kwa wenyewe.Kwa jinsi ninavyoona naona wanaume tunalaumiwa na kuonekana hatufai katika jamii pale inapotokea mwanamme kumbaka mwanamke,utasikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida bunge letu linapashwa kuwa ndicho kielelezo cha demokrasia ya kweli hapa nchini. Lakini mambo ni tofauti; hivi sasa Spika anadiriki kuwakemea wabunge kama kwamba ni watoto...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanajamvi mlioko Dar anatafutwa carpenter asiyembabaishi.Ningefurahi kujua bei zake mfano ,kitchen,doors,dining table.Natanguliza shukrani kabla ya kuliwa manake dar kila mtu ana bei yake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya watu wanao ibeza CDM kwa uamuzi wake wa juzi, wa kususia hatua za mwisho za mjadala wa kufanyia marekebisho kanuni inayotoa ufafanuzi wa ni nini maana ya kambi rasmi ya upinzani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa misri anajiandaa kwenda Ujerumani kwa kile anachodai ni kwenda kuangalia afya yake. Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema kuwa hiyo ni janja ya kuondoka madarakani na kumwachia madaraka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman waliolive kufuatilia bungeni mtujuze kinaendelea nini hasa? Ipi nzuri ipi mbaya, Wamefikiaje suala lenye utata? Makinda anaongozaje bunge? Thanks
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom