Mubarak aandaa mazingira ya kukimbia misri.

Mubarak aandaa mazingira ya kukimbia misri.

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Rais wa misri anajiandaa kwenda Ujerumani kwa kile anachodai ni kwenda kuangalia afya yake. Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema kuwa hiyo ni janja ya kuondoka madarakani na kumwachia madaraka makamu wake. Source: BBC NEWS.
 
Asante, huyo kwishnei.... sasa yemen, bongo tujiandae!!:twitch:
 
Back
Top Bottom