Bado siku saba dowans walipwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado siku saba dowans walipwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WJN, Feb 9, 2011.

 1. W

  WJN Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vilivyotoka leo, hapa tusipokaa sawa huenda dowans wakalipwa hayo mabilion wiki ijayo.
   
 2. H

  Haika JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kukaa sawa ndio aje?
   
 3. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Source please udaku no tafadhali.
   
 4. W

  WJN Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanzania daima ya leo. Imefail kuupload, ka vp itafute.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nafikiri ilitakiwa tusimame sawa kupinga ulipwaji!
   
 6. m

  mzee wa inshu Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili la Dowans kulipwa si ajabu, kwani mangapi yamefanyika? watanzania ni wapole na wakarimu sana hawana tatizo hata kidogo na mtu ilimradi wapewe ahadi ya maisha bora.

  'Hata nchi ikiuzwa! hiyo kwao sio ishu limradi hawasikii mirio ya risasi(utulivu na amani)
  ''

  'Mungu ibariki nchi hii na watu wake'
   
 7. aye

  aye JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  watalipwa na watanzania tutasahau kwani ndo jadi yetu kupiga kelele na kusahau mangapi tuliyapigia kelele na tukasahau
   
 8. y

  ybest Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Issue ya DOWANS sasa imekuwa kama ngonjera, na mwisho wa siku watalipwa. Dili hapa ni kuanzisha tu na we kampuni yako, ili twende sawa.
   
Loading...