Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Kuna tatizo lisipotizamwa tutakuwa tunauana wenyewe kwa wenyewe.Kwa jinsi ninavyoona naona wanaume tunalaumiwa na kuonekana hatufai katika jamii pale inapotokea mwanamme kumbaka mwanamke,utasikia ,jibaba lenye miaka 15,35,45,50 kizee chenye miaka70 ,mwalimu ,amembaka mtoto wa kike mwenye miaka kumi na sita 20,25 n.k
Sasa ninachokaa na kujiuliza hivi wanawake kwa nini wao hawahusishwi na kuna wanawake wanafanya mapenzi na wanaume wanye miaka chini ya 20 au juu ya hapo ,na wanawake hawa nao pia huwa na miaka kama au zaidi ya hiyo ya wanaume nilioionyesha juu pengine utamkuta ameolewa na ana watoto ,na msinipinge kwa hili kwani ni mambo ambayo siku hizi ni feshon,sioni wao nao kupewa kipau mbele kama wanavyodai haki waliyonayo sehemu nyingine katika kuhusika na jambo hili.
Kuna habari na kesi kubwa kubwa hata wakati wa vikao vya bunge lakini wanaobamizwa ni sisi wanaume,kuwa ndio tunaokabiliwa na makosa au inatakiwa sisi tuwaogope na tuwakimbie wanapotokea.Maana akisema tu basi umekwisha.