Very soon woman will pay man to suck their breast...........?

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
spacer.gif
spacer.gif
40878115_504092.jpg

Related Stories

Doctors recommend that women reduce the risk of getting breast cancer by having their breast sucked .It is said that regular sucking of the breast lowers the risk level that tends to build up breast cancer.
The breast must be sucked as often as possible, help women fight breast cancer today.

Men please do your part, and suck a breast now and woman please let your body free! This message is from the ministry of Health IN THE FIGHT AGAINST BREAST CANCER

Please I honestly think we should comply. My humble submission. Help save a life today, please , suck a breast today !!!
Comments ( 1 ): Post Your Comments >>
 
Asante mkuu kwa kutujuza tiba mbadala, sasa kilichobaki ni utekelezaji tu!
 
Hizi tafiti zinatupendelea sana wanaume...Kuna ile iliyosema kuangalia 'mewata' za wanawake huimarisha afya ya moyo wa wanaume na kuwaepusha na magonjwa ya moyo.
 
Duh hiyo sijapata kuisikia mkuu anyway nitaifanyia utafiti hehehehehe
 
spacer.gif
spacer.gif
40878115_504092.jpg

Related Stories

Doctors recommend that women reduce the risk of getting breast cancer by having their breast sucked .It is said that regular sucking of the breast lowers the risk level that tends to build up breast cancer.
The breast must be sucked as often as possible, help women fight breast cancer today.

Men please do your part, and suck a breast now and woman please let your body free! This message is from the ministry of Health IN THE FIGHT AGAINST BREAST CANCER

Please I honestly think we should comply. My humble submission. Help save a life today, please , suck a breast today !!!
Comments ( 1 ): Post Your Comments >>

hili nalo andiko.. tutatekeleza mkuu
 
Wanatakiwa kunyönyesha watoto vyakutosha, na si kunyonya wakati hayana maziwa. Kunyonya tu wakati hayatoi maziwa haisaidii, ila mwanamke anatakiwa kunyonyesha vya kutosha esp.ile 6month exclusive breast feeding. Wanawake walio wengi hawanyonyeshi wakisema maziwa yanaharibika si kweli, unapönyonyesha zaidi na vyakutosha ndo yanarudisha matiti kwenye hali yake ya zamani. Hivyo zaen angalau watoto 3 na wanyonye vyakutosha risk ya kansa za matiti na shingo za kizazi zitapungua. Google breastfeeding. Utaona faida zake na si huo ushauri uliotolewa hapo juu unless mnia mengine. Naomba kuwasilisha.
 
Tutalifanyia kazi mkuu.
Tahadhari:Kwa wale ambao wapenzi au wake zao wananyonyesha angalieni msije maliza maziwa ya watoto wenu.
 
Wanatakiwa kunyönyesha watoto vyakutosha, na si kunyonya wakati hayana maziwa. Kunyonya tu wakati hayatoi maziwa haisaidii, ila mwanamke anatakiwa kunyonyesha vya kutosha esp.ile 6month exclusive breast feeding. Wanawake walio wengi hawanyonyeshi wakisema maziwa yanaharibika si kweli, unapönyonyesha zaidi na vyakutosha ndo yanarudisha matiti kwenye hali yake ya zamani. Hivyo zaen angalau watoto 3 na wanyonye vyakutosha risk ya kansa za matiti na shingo za kizazi zitapungua. Google breastfeeding. Utaona faida zake na si huo ushauri uliotolewa hapo juu unless mnia mengine. Naomba kuwasilisha.

Hii ndio hasa maana yake. nyonyesha mtoto zaidi uepukane na cancer.
 
Wanatakiwa kunyönyesha watoto vyakutosha, na si kunyonya wakati hayana maziwa. Kunyonya tu wakati hayatoi maziwa haisaidii, ila mwanamke anatakiwa kunyonyesha vya kutosha esp.ile 6month exclusive breast feeding. Wanawake walio wengi hawanyonyeshi wakisema maziwa yanaharibika si kweli, unapönyonyesha zaidi na vyakutosha ndo yanarudisha matiti kwenye hali yake ya zamani. Hivyo zaen angalau watoto 3 na wanyonye vyakutosha risk ya kansa za matiti na shingo za kizazi zitapungua. Google breastfeeding. Utaona faida zake na si huo ushauri uliotolewa hapo juu unless mnia mengine. Naomba kuwasilisha.
Afadhali umewambia hawa viumbe, maana walishaanza kufurahia, n i bet wake zao wangekoma lol.
 
Bora kuzaa na kunyonyesha mtoto mchanga. kunyonyesha mkubwa, mtu ananyonya mpaka chuchu zinavimba.
 
Wanatakiwa kunyönyesha watoto vyakutosha, na si kunyonya wakati hayana maziwa. Kunyonya tu wakati hayatoi maziwa haisaidii, ila mwanamke anatakiwa kunyonyesha vya kutosha esp.ile 6month exclusive breast feeding. Wanawake walio wengi hawanyonyeshi wakisema maziwa yanaharibika si kweli, unapönyonyesha zaidi na vyakutosha ndo yanarudisha matiti kwenye hali yake ya zamani. Hivyo zaen angalau watoto 3 na wanyonye vyakutosha risk ya kansa za matiti na shingo za kizazi zitapungua. Google breastfeeding. Utaona faida zake na si huo ushauri uliotolewa hapo juu unless mnia mengine. Naomba kuwasilisha.

Ukisoma maandiko matakatifu Quraan na Biblia utaona wanawake wameamrishwa wawanyonyeshe watoto wao kwa kipindi cha miaka miwili ila siku hizi wanawake wanaenda na wakati wanawapa chupa ili vifua vyao viwe vya kuvutia matokeo yake ndio mlipuko wa cancer za matiti! Hii ni kwenda kinyume na maadili na maandiko...........
 
As of now we are paying to suck them. We are really waiting for the moment. In actual sense the number of women is increasing compared to those of men. On top there are those men who are commonly known as " bahati mbaya or si ridhiki". In recent years there those Tejas who further complicate the ratio. It is true then that because we are few we will be paid for the service.:laugh:
 
Back
Top Bottom