Njooni tuandamane !njooni tuandamane ! Njooni tuandamane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njooni tuandamane !njooni tuandamane ! Njooni tuandamane

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akiri, Feb 10, 2011.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  NDUGU ZANGU WATANZANIA NATAFUTA WATU WA KUNIUNGA MKONO , ILI TUANDAMANE KUELEKEA IKULU. NATAKA RAIS ATUAMBIE UFUMBUZI WA MASUARA HAYA

  MGAWO WA UMEME UTAISHA LINI?
  jamani kwa sasa hakuna tunachoingiza shughuri zangu zinategemea umeme na umeme haupo . nimenunua kanga mvuke lakini wapi gharama za mafuta ziko juu
  jamani jamani jamani

  MFUMUKO WA BEI UNATISHA
  bei za bidhaa zinapanda kila siku ndugu zangu naishi na familia ya watu watano na kila siku naacha kodi ya meza 7,000 lakini naambiwa hazitoshi naacha Msimbazi hatoshi jamani? tunaenda wapi? maisha bora yako wapi?

  KODI ZA NYUMBA ZINAPANDA KIHORELA
  mwenye nyumba anaamua tu leo mfano nimepanga vyumba vinne pale kinondoni kwa 300,000 kwa mwezi mwaka umeisha mwenye nyumba kaniambia 380,000 kama sitaki niondoke . nitaenda kushitaki wapi na kiliochangu kikasikilizwa.

  nataka kuandamana hadi kwa mkuu JK . HIVI NI KWELI TUNA SERIKARI NA KAMA IPO BASI IAMKE NA KUTUOKOA HASA SUALA LA UMEME. jamani najuuuuuta kuwa mbongo
   
 2. doup

  doup JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Tarehe ?
   
 3. n

  nyantella JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  DuH! .... Pole saana ndugu yangu! maana hizo sababu zoote hata ukiandamana si suluhisho maana una watu watano wanakutegemea, wakati unaandamana wao watakusubiri nyumbani upeleke chakula!! mwenye nyumba bado atataka kodi yake kama alivyo kwisha sema na mbaya zaidi ni nyumba ya binafsi sii ya serikali, Mafuta waarabu wameisha pandisha baada ya vurumai za huko kwao.

  ushauri ni kukaza boot tu pambana kusaka noti maana una majukumu!! maandamano waachie wasela wasio na wategemezi maana likitokea la kutokea watapoteza kiongozi wa familia anayeleta mkate! nyumbani.
   
 4. D

  Dina JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Napata wakati mgumu kweli kumeza 'dawa' uliyoisema hapa manake kupona pia napenda, lakini hawa watu watatusikilizaje? Manake inaonekana wameziba masikio kwa gundi ngumu. Na wakati mwingine hawa wasela wanakuwa kama hawana ulazima wa kuandamana coz hata akiokota chipsi kavu njiani siku inakwenda. Sasa mie chipsi hiyo ntamlisha nani na kumuacha nani?
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Toa Tarehe mkubwa watu tujipange
   
 6. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Hapa ndipo pa kungundua njisi watanzania walivyo waoga kupigwa mabomu na washawasha -- ha ha ha ha

  tuliani tuliwe...
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  tarehe nitaitangaza soon mkuu asante kwa utayari
   
 8. A

  Akiri JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hapana mkuu nadhani nikiandamana nitaondoa duku duku langu moyoni maana nahisi kuumizwa na viongozi wangu, sasa labda watanisikia na ninaamini siko peke yangu . asante kwa kunitia moyo nitakaza buti baada ya maandamano
   
Loading...