Hatari Bungeni moto unawaka sasa hivi!

Hatari Bungeni moto unawaka sasa hivi!

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
728
Reaction score
322
Jaman waliolive kufuatilia bungeni mtujuze kinaendelea nini hasa? Ipi nzuri ipi mbaya, Wamefikiaje suala lenye utata? Makinda anaongozaje bunge?

Thanks
 
Jaman waliolive kufuatilia bungeni mtujuze kinaendelea nini hasa? Ipi nzuri ipi mbaya, Wamefikiaje suala lenye utata? Makinda anaongozaje bunge?

Thanks

RP;

jaribu kutoa habari za matukio zinazoeleweka, si wote tunaona live.

Wewe ndo mtoa habari unayedai bunge linawaka moto sasa hivi. wakati huo huo unataka watu watujuze nini kinaendelea. Mbona hatukuelewi?

Kama huwezi kuanzisha thread yenye info za kutosha si subiri tu usome? Kwani lazima uanzishe?

Save our time.
 
Samahani mkuu mi ninakiu ya kujua kinachoendelea huko! Nina imani kuwa lazima moto unawaka kweli so wapo waliolive watatujuza mkuu! wewe usijali subiri data!
 
Samahani mkuu mi ninakiu ya kujua kinachoendelea huko! Nina imani kuwa lazima moto unawaka kweli so wapo waliolive watatujuza mkuu! wewe usijali subiri data!

Next jifunze ku-choose heading nzuri sio hii ya kuvumisha kumbe uko uchi kinywani bila cha kutueleza!
 
How embarrasing!
Nachelea kukuita MZUSHI wewe kijana.
Jifunze adabu na ujifunze kuheshimu wenzako. ni kosa la kiufundi kuzuka na kichwa cha habari cha ku'alert attention, kumbe umemkumbuka shemeji nyumbani.
 
How embarrasing!
Nachelem kukuita MZUSHI wewe kijana.
Jifunze adabu na ujifunze kuheshimu wenzako. ni kosa la kiufundi kuzuka na kichwa cha habari cha ku'alert attention, kumbe umemkumbuka shemeji nyumbani.

kamanda nilidhani niko mwenyewe.
 
Mods iondolewe hii,haina mashiko zaidi ya kutuchanganya tu...jamaa anaweka thread ambayo haielewe,hana uhakika hata na kitu anachokileta jamvini...lol
 
Mkuu hiyo title yako na maelezo siyo siri are not coherent, siku nyingine njoo vizuri. In short title yako ina confirm wakati maelezo yako yanauliza na siyo statement therefore cannot be a conlusion. Umenikimbiza mno mkuu!
 
Jaman waliolive kufuatilia bungeni mtujuze kinaendelea nini hasa? Ipi nzuri ipi mbaya, Wamefikiaje suala lenye utata? Makinda anaongozaje bunge?

Thanks

Heading na contents za thread hii havina uhusiano na vinakanganya. Heading imenipa mshtuko mkubwa wakati content imenitia hasira sana.
 
Jifunze kutoa title zenye ukweli sio kukurupuka tu.
 
Sa ww ndio radio producer afu unatuuliza cc. then info is contrary to your title.
 
Kichwa chake kimepata moto,tafuta kanga uweke ma bonge ya barafu kisha zungushia kichwani kitapoa tu,msameheni anajifunza.
 
Kichwa cha habari kama kwenye alasiri au risasi.

... baada ya kichwa cha habari, ndani hakuna kitu...
 
Hivi wewe unajua ni kiasi gani pumba zako zinachanganya na kuudhi watu?.
Acha upuuzi hii sio facebook bana,
MODS PLEASE TOA HUU UPUPU
 
Tatizo la kupata "majani" kabla ya msosi
 
hivi rules zinasemaje kuhusu posti zinazoweza kuwasababishia wengine ban?

hovyo sana!
 
...Ghaaaaaa! r u a great thinker?....
Lengo lako ni nini Haya???.. Jamiiforums attention??? Au unataka umaarufu???...
 
Nina wasiwasi na kichwa chako maana huwezi kuropoka namna hii bila kujua unaandika kichwa habari cha aina gani kama ni swali.

Nadhani wewe uko tupu huko gorofani ni afadhali ya andazi linaliwa
 
Back
Top Bottom