Ufisadi mpya karagwe-shule zaendelea kuchomwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mpya karagwe-shule zaendelea kuchomwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chitambikwa, Apr 11, 2011.

 1. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwezi wa pili 2011 ilichomwa shule ya Kaisho ambapo ilikuwa ni mda mfupi shule ya sekondary ya nyaishozi kuchomewa bweni.
  Leo saa nne asubuhi bweni jingine katika shule ya sekondari kaisho-karagwe limechomwa moto ikiwa ni mwendelezo wa kuchoma mabweni na kuharibu mali za shule hiyo. Chanzo kikubwa ni siasa hasa baada ya mwl/mkuu na timu yake kufukuzwa kwa madai ya ubadhilifu, Nongwa ikaja kwa viongozi wa ccm ambao walikuwa wanafaidika na uwepo wake. Sasa wanaharibu miondombinu ili kupoteza ushaidi na kulipiza kisasi.

  Mbunge wa karagwe ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi wa shule hiyo. Bweni limeungua ndani ya sekunde kama 100 tu.
   
 2. m

  makerubi Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yoo mawe!!! hivi twaelekea wapi? kupoteza ushahidi kwa kuchoma shule mambo ya siasa!! hadi kwenye shule za watoto wetu? mkoa huo unasifika sana kwa watoto wenye akili sasa wanatupeleka wapi???
   
Loading...