Makamba, chiligati & mkuchika: Ni kweli kuwa ndio gamba la ccm?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba, chiligati & mkuchika: Ni kweli kuwa ndio gamba la ccm??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mark Francis, Apr 11, 2011.

 1. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tumeshuhudia viongozi CCM na magazeti mengi yakitangaza kuwa CCM imejivua gamba kwa kuvunja sekretarieti ya CCM iliyokuwa chini ya Makamba, Chiligati, Mkuchika na wengine ambao sijawataja. Je, ni kweli kuwa viongozi hao wa chama ndio waliokuwa gamba ambalo CCM imetangaza kujivua?? Na je, huo ndio utakua mwisho wa kuchukiwa kwa CCM??
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  huo ndo ufufuo wa ccm, ccm oyeeee
   
 3. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  upinzani ulishawaambia kuwa hao jamaa na wengine akina lowasa, rostam ni adui kwa taifa na ccm kwa ujumla hamkukubali. Mmegundua hilo kutoka juzi dodoma!! Kwa nini ccm isifanye maandamano ya kupongeza cdm. Maana cdm inaona mbali kuliko ccm.
  Sasa kwa kuwasaidia tu tafadhali fukuaza akinana rostam, lowasa na kikwete mwenyewe etc na wapeleke lupango, hapo ndo itakuwa mmejivua gamba nyie c
  cm
  upinzani oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Nafikiri hata mwenyekiti anapaswa kujivua maana haya mambo hayakuanza kama uyoga ghafla yalikua yanapanda taratibu na yeye kama msemaji mkuu wa mwisho alishindwa kulirekebisha hilo.
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu huo ni uongo na mmajiganganya wenyewe cha kufanya ccm MTOKE KWENYE DIMBWI LA UFISADI!
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndio ni kweli, Ila si kweli kwamba ndio gamba pekee, yaani CCM wamevua gamba nusu mwili sasa wanatakiwa waendelee kuvua sehemu zilizobaki
   
 7. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM bado kazi ni kubwa sana hayo magamba mliyovua hayajatosha
   
Loading...