Hamia airtel

THE GEEK

Member
Dec 10, 2010
90
32
Loliondo........

airtel.jpg
 
huwezi kuni amrisha kama mtoto mdogo eti Hamia Airtel ,inabidi unibembeleza tena kwa unyenyekevu. hivyo sihamii mpaka mnibembeleze vya kutosha.
 
Watajaza minara wakati babu anarudi kwao Rungwe

hata akirudi Rungwe wale wakazi wa huko watakuwa nao wamefaidika na mawasiliano......walijua ni lini wangepata vilongalonga.....babu is there to stay bana
 
HONGERA AIRTEL....ANGALAU MMEWAKUMBUKA WATU WALIOTENGWA NA JAMII....... fanyeni vyema zaidi niwapongeze
 
siku hizi tigo wezi sana eti robo shilingi baada ya dakika ya kwanza!hiyo dk ya kwanza wanatoza sh 300!airtel ni cheap sana na hakuna foleni kwenye kupiga
 
Air tel wana lipi jipya ambalo hakuna kampuni nyingine sioni haja ya kulazimishana kuhamia labada kama ukihamia unapewa kitu cha maana zaidi ya hapo mitandao yote sawa tu wanafanana kila kitu hamna jipya!!!!
 
or u should go back to school and learn how to advertise , coz kila tangazo enu mnalo toaga ni OVYO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom