Babu loliondo aleta taabu

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Katika hali isiyo ya kawaida kitendo hiki cha kupokea tsh 500 na kusababisha mzunguko wa pesa hiyo kupungua kwani hapeleki bank na amekua akiziweka basi je nini kifanyike
 
Katika hali isiyo ya kawaida kitendo hiki cha kupokea tsh 500 na kusababisha mzunguko wa pesa hiyo kupungua kwani hapeleki bank na amekua akiziweka basi je nini kifanyike

Wewe umeziona za Babu tu?
 
Watu wengine bwana...Yani nimepoteza muda kufungu hii thread nikadhani kuna la maana kumbe tope tupu.......................sasa wewe unaitaka mia tano ya nini? kama una elfu 1 na kuendelea si unaweza kununua bidhaa au huduma zinazouzwa kwa shs mia tano.
 
Sio lazima kutupia thread hata ilmlad umepost ndg, umejaribu kujiuliza ni sehemu ngap ya noti za Mia tano katika TZ zlizopo kwenye mzunguko Babu kazi hodhi? Sio issue hiyo. Usijenge chuki,ni mtazamo tu!
 
Daa kiukweli heading na kilichomo ndani mie nmechoka mwenyewe ila huyu jamaaa nina hofu na Mental capability yake
 
:A S 2152:

Chijana una matatizo kabisa wewe........we sema umeishiwa hata nusu ya mwezi haijafika......punguza idadi sio kulia 500 huzioni, njoo kwangu utaziona ninazo nyingi tu....au na mie utasema naziondoa mzungukoni?? tehetetehheeee
 
LOL imedimika yenyewe au na ndg zake buku na kuendelea kwa hiyo wewe unasimbi tu ? Ha ha kaziuze kwa makonda na wauza maji
 
Watu wengine bwana...Yani nimepoteza muda kufungu hii thread nikadhani kuna la maana kumbe tope tupu.......................sasa wewe unaitaka mia tano ya nini? kama una elfu 1 na kuendelea si unaweza kununua bidhaa au huduma zinazouzwa kwa shs mia tano.
Na bado ukaendelea kupoteza muda wako kwa kuandika hii post
 
Back
Top Bottom