naombeni msaada jamani,nisaidieni

BLISS

Member
Mar 31, 2011
54
12
naomba kuuliza je unaweza kufuta post yoyote ambayo hujatuma wewe? kuna post nilikuwa naiangalia ya mchawi aliyeibuliwa kanisa la efatha kutoka loliondo lakini sasa siioni tena, nahisi kama wakati naisoma nime delete kwa bahati mbaya, naomba msaada ili niweze kuiona,

natanguliza shukurani.
mbarikiwe!
 
Navyojua mie, huwezi kuifuta post ya mtu mwingine.anayeweza kufuta ni MOD. Kama huioni page ya juu, jaribu page zinazofuatia[hiyo ni kwa uelewa wangu]
 
Back
Top Bottom