Hujuma yakufuru ligi kuu bara-yanga yatwaa ubingwa kimagumashi

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,270
Habari zilizotudondokea hivyi punde zinasema manji na kundi la viongozi kadha wa tff (kayuni) wamemwaga pesa kwa timu ya majimaji ili isiingie uwanjani leo! Habari hizo zinazidi kusema yanga hata wakishinda bao moja tu itatosha kuwa bingwa! Nazidi kufualia kwa makini wanajamvi kwani hela inayotajwa kutolewa ni zaidi ya milion miambili!!! Mwenye habari zaidi atujuze
 
Kama ni zaidi ya milioni mia tu...HAWAINGIZI timu, kwani a/c ya majimaji ina amana kiasi gani?
 
Habari zinazidi kutiririka kuwa majimaji tangu jana wapo morogoro wanasema gari yao imeharibika autonetor hivyo mpaka asubh ya leo wametuma mtu aje dar kununua lakini kakuta maduka yamefungwa lakni yote ni janja tuu washalipwa chao na yanga!
 
Kiasi kamili kilichotolewa kinatajwa kuwa ni milioni miatatu! Zinatajwa kuwa zimeingia NMB kwenye a/c ya kigogo mmoja wa majimaji zikitoka EXim bank kwenye moja ya a/c za manji! Zoezi zima lilimalizika tangu juzi jioni mida ya saa tisa na robo ktk kikao kilichoketi moven pick hapa dar!
 
Lengo ni yanga kutwaa ubingwa sio? Sasa mbona ni bora wabaki na hizo ml 300 klko kuchukua ubingwa wenye thamani ya ml 35. Pesa bwana,upuuz mtupu.!!?
 
Hivi nyie leteni habari za maana, kwani yanga hawawezi wafunga hao toto? Ok wasipoingiza timu simba si wamepata point 3 na magori matatu
 
huo ni uzushi wala sio umbea, acheni kutumwagia habari zisizokuwa na maana....kama huna cha ku share na watu bora unyamazekuliko kuropoka, yapo maeneo ya kuropoka sidhani hapa ni mahala sahihi.
 
mbona wadau mkipewa taarifa za ufisadi za maeneo ya siasa hamuhoji na kutilia shaka hv? Mhhh nimegundua wengi ni CCM AGHHHHHH NO ni yanga, ahahahahahaa! HONGERENI KWA UBINGWA.
 
Back
Top Bottom