Mtanzania apeta marekani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania apeta marekani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by malkiory, Apr 11, 2011.

 1. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE. Unaweza kupiga simu kutoka kwenye landline yako, mobile na kwenye pc yako.

  Kwa maelezo zaidi tembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Hapa unamtangaza mtanzania au biashara yake?, hivi unajua kuna jukwaa la matangazo.
   
 3. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gama acha wivu na mtizamo wako wa kijima. Nina moyo wa kizalendo kuwapasha habari watanzania waishio ughaibuni ili waweze kuwasiliana na nyumbani kupitia kampuni ya mtanzania mwenzao. Acha ufisadi wako wa kimawazo.
   
Loading...