Kumekucha: Wanakijiji wachoma matrekta 20 ya wawekezaji Babati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumekucha: Wanakijiji wachoma matrekta 20 ya wawekezaji Babati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Jan 29, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanakijiji wa vijiji 4 huko bonde la Kiru, Babati, Mkoa wa Manyara wamechoma moto viwanda 2 vya sukari, mashamba na matrekta 20 mali za wawekezaji.

  Source: Radio One Stereo Breaking News via cellphone.
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,927
  Likes Received: 12,134
  Trophy Points: 280
  Bora
   
 3. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hao jamaa nawafahamu sana kwani wanannyanyasa sana watu kwenye hayo mashamba ya miwa SI UNAJUA HAWA NDUGU ZETU WAHINDI TENA. ukimpa nafasi unakuwa mtumwa kwisha kabisa. Wale wa oldean Karatu wakae tayari huu ni mwanzo.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Haaaaaaa halafu ligavernment linalala tuuu kwa nini watu wasitumie nguvu zao!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Naihurumia CCM -- ina shida kubwa mwaka huu. Jana yule Msekwa alibanwa sana ingawa alijitahidi kuitetea CCM kwa kimabavu.
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Peoples power!bora maana malalamiko yao hayasikilizwi
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Liko kooni, mhindi mmoja baada ya mwingine wataanza kuondoka we subiri!
   
 8. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Na huko CCM itasema ni CDM imewatuma?? mwaka huu halitabaki jiwe juu ya jiwe!:clap2:
   
 9. m

  mzambia JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Bado mashamba ya kapunga mbalali mbeya na wenyewe waige hao wa babati
   
 10. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jk ameyataka mwenyewe. Wananchi wamepiga kelele hadi zimekauka. Sasa kazi kwake. Tena bado muziki utaendelea maeneo mengine.

  Pipooooooooooooz..........
   
 11. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Huo ndiyo muziki mororo ninaopenda kuusikiliza. ccm na serikali yake lazima sasa wajifunze kusikiliza na kushughulikia kilio cha wananchi. Hongera wana Babati mmechoka porojo za viongozi wanaotumikia mafisadi badala ya kuwatumikia ninyi.
   
 12. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono wananchi kujieleza kwa namna yoyote ile isipokuwa kuharibu mali na maisha. Haki ni kwa kila mtu, walichofanya ni ukatili kwa binadamu wenzao. Tutaishia kwenye maafa na ulipizaji kisasi badala ya ukombozi. Ndicho kinachoitafuna Somalia.

  Nalaani na kupinga kabisa kitendo hicho!
   
 13. D

  Deo JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,191
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli nadhani wanalipiza kisasi cha kuchakachuliwa kwa ubunge. Sisiemu ilimweka muhindi aliyechakachua matokeo. Zaidi kabla ya pale alisha piga na kuwachoma wenyeji. Wengine wapo mpaka leo na ni vilema. Kura hakupewa bali aliiba kama mwenyekiti wake.
   
 14. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Powwweerr,tvawatoa mpaka upanga kwenye nyumba zetu za NHC wanakaa bure
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Good
   
 16. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Niliwahi kuanzisha thread ya jinsi hawa Waasia wanavyojidai miungu watu hapa nchini,mod akafuta!!! Frankly speaking, kizazi chetu kitakapokaa hapo juu kwenye uongozi wa nchi,watakimbia hawa watu, otherwise tunataka wawe raia na wazalendo wa kweli,tumechoka na unafiki na unyonyaji wao!!!
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kazi imeanza bongo
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,905
  Trophy Points: 280
  Uvumilivu una kikomo chake, hali kama hii ikiendelea katika mikoa mingi ya nchi yetu basi CCM itakuwa na wakati mgumu sana, na hakuna wa kulaumiwa ila uongozi wa juu wa chama hicho.
   
 19. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Wa intelijensia mwema hukupata intelijensia? Au intelijensia za cdm tuu ndiyo unazozijua? intelijensia my foot!
   
 20. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  aah I like this!!
   
Loading...