Wanaume kuomba taraka je sahihi ?

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Muswada wa katiba mpya wazua mambo zanzibar baada ya washiriki kudai takala.Je wazanzibar wanamdai nani hiyo takala . Pili wamekwenda mbali wanadai katiba ya Tanganyika kwanza.Zaidi wamesema awahutaki muungano.?
 
Naona leo umestua Wanzuki nini, Rubisi imekushinda ungechanganya na Mnanasi kidogo:A S-omg:
 
hiyo hua misemo!
Twalaqa/talaka=divorce.
Kuacha hutokea baada yakuepo kwenye makubaliano fulani.
Inaweza kua kama kutengana(separation). So kama hao uliwasikia wakisema wanadai twalaqa....ni maneno yamehamishiwa hapo ionekane kama ilikua ni makubaliano fulabi sasa yanatenganishwa!.
Kwa uelewa wangu!.
 
Maana yake 'wameolewa' teh teh teh!, sasa wanampango wa kuolewa na mume mwingine wa kule Arabuni kwi kwi kwi! Kwa vile desturi hairusu kuolewa na mwanaume mwingine wakati tayari umeolewa(sio kuoa) na pia talaka lazima iwe na sababu basi wanataka biograph ya huyo mume waliomchoka ili waje na sbb kuwa sio lijali hah hah hah!. jibu lako ndiyo hilo
 
Back
Top Bottom