Je kuuwa kwa Osama ni mtaji wa kisiasa kwa Obama?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Natafakali kwakina kila nikichemsha akili yangu naona ushindi wa Democrat njia ni nyeupe!
Hebu jf lete mawazo yako
 
Kimsingi naangalia kuporomoka kwake kisiasa hasa kufuatia ongezea la wasio na ajira,vita inayoendelea Libya na ongezeko la gharama ya maisha! Ndani ya siasa za usa Obama kashuka umaarufu wake na Rep wanatumia mbinyo huo kujimarisha kisiasa! Kwamujibu wa Tomas Scheling mwandishi wavitabu ma na mchambuzi wa siasa za ndani za USA anabainisha wazi kuwa tumaini la wahafidhina dhini kijana wao linapungua na sasa wanashawishika kubadili mtazamo!
 
Tukio hili litarejesha moyo wakizarendo kwa kijana wao na kuendelea kukiunga mkono chama cha Dem
 
just to gain back popularity for re-election and to crush birth certificate drama from trump
 
Probably yess,kuna uwezekano huo,wachambuz weng wamelizungumzia hilo maana ni moja ya ahad yake kwenye KAMPENI
 
Nadhani wamejiharibia kabisa, coz wamedanganya dunia nzima kuwa wamemuua Osama na kumbe hakuna lolote
 
Mpaka leo hii binafsi hawaja nishawishi kuwa wamemuua Osama! Picha nyingi ni za ku develop na nyingine ni za zamani kipindi akiwa bado mtu wa makamo! Inatia wasiwasi kama mradi wao kisiasa utafanikiwa!
 
Back
Top Bottom