Leo ni siku ya uhuru wa vyombo vya Habari Duniani

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Kwa hapa bongo siku hii itaazimishwa Jijijini Dar ambapo pamoja na mambo mengine zitatolewa tuzo kwa waandishi waliofanya vizuri kwa mwaka 2010

Kwa maoni yangu uhuru wa habari tanzania upo ila kuna mambo kadhaa yanayominya uhuru wa habari mfano sheria ya magazeti inayompa uwezo waziri wa kufungia gazeti lolote na muda wowote akijiridhisha kuwa limekiuka tartibu za nchi.

na kutoa michango,maoni JF ni uhuru wa maoni kwani nchi nyingine kama Rwanda,burundi,uganda nk ni vigumu kidogo

Sikuuu OYEEEEEEE

M.Byabato
 
Mwandishi bora wa mwaka ni kati ya hawa

1.Angello Mwoleka -Star TV
2.Masoud Masoud -TBC1
3.Orton Kiishweko -Daily News
4.Grace Kiondo -Zenj FM
5.Dorcas Raymos- Channel ten
6.Martin Kuhanga - Radio Tumaini
Ni kwa mjibu wa website ya MCT na atatanagzwa leo saa 11:30 Mlimani City
 
Back
Top Bottom