Wastaafu Afrika Mashariki wafunga tena barabara ya Kivukoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wastaafu Afrika Mashariki wafunga tena barabara ya Kivukoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, May 23, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Ni baada ya hesabu ya madai yao kukataliwa na mahakama kuu.
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Walielezwa na wakili wao, hamaki ikawa kubwa wengine wakaamua kufunga barabara kwa mawe ya parking ya mahakama kuu.
   
 3. aye

  aye JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 160
  wazee wa watu maskini wanadai haki yao
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nasikia kwenye bomba tu, nimejionea live leo. Nililia mazee, feels like dying!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,518
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  sera mbovu za ccm. nani anabisha ?
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,024
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Jamani hawa wazee wanatia huruma sana,mpaka leo wanahangaika tu.
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Malaria Sugu, Makupa & Co.
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Nimewaona walivyochoka, baadhi yao ni walemavu. Yaani hilo deni limekuwa kama godoro la Tanfoam... "Alidai babu, mpaka mjukuu hajalipwa"
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Jinsi wanavyowasunbua hawa wazee ndio maana hiki chama cha magamba na serikali yake mara nyingine hawajui laana zinazowapata zinatoka wapi!!
   
 10. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwahiyo mzee wa kaya aliwahadaa tuu?duu huyu jamaa anazidi jiwekea mazingira magumu yakutofika 2015,sijui kashachoka masiki ya mungu.
  Sasa hawa wazee inabidi wasaidiwe na nguvu ya umma maana mahakama za magamba zishashindwa...
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Cha kusikitisha ni kuwa na wao tumaini lao lipo kwa mcwerreh, niliwasikia wakiulizana 'hivi rais ameshindwa kutoa tamko?'
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Mhm, labda? Halafu inakuwa vipi mtu unahadaa watu wa umri wa baba yako, kama si kujitafutia laana ni nini?
   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  ****** yupo busy na Msiba ya Mwenyekiti wa wazee wa Dar... INAUMA SAAANA!
   
 14. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
  Kawakosea heshima hawa watu,leo hii mama mwenye nyumba wangu ni mmoja wapo aliniaga asubuhi anakwenda kwenye kesi yao lkn nikashangaa amerudi kafura kwa hasira na huzuni imemjaa kwa kukata tamaa wakati mkuu wa kaya alipowaahidi kwenye ile hotuba yake ya mwezi wa tatu wakaona bonge la mtu.
  Mungu amlani huyu mtu kwani chakushangaza hela waingereza walishazilipa ila wajanja wamezibunya sasa wanawasumbua wazee wa watu bure.
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,518
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  kwa nini wazee wetu wanaonewa hivi jamani?
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,566
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  mh atamke nini? Kwani wafikiri hawaoni?
   
Loading...