Lijue Neno la MUNGU

Lijue Neno la MUNGU

peacebm

Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
57
Reaction score
9
Kwa maombi;

Rudi kwangu uokoke,

Niangalieni mimi mkaokolewe, enyi nchi zote

za dunia, maana mimi ni MUNGU hapana mwingine.
 
Umerudi lini Nigeria?
Hamna mazingoombwe mengine mapya? haya yamisekule tumeyachoka!
 
Kwa maombi;

Rudi kwangu uokoke,

Niangalieni mimi mkaokolewe, enyi nchi zote

za dunia, maana mimi ni MUNGU hapana mwingine.

tuambie ni kitabu gani na mstari wa ngapi? usiache neno linahang,
 
Siyo muda mrefu huyu ndg yetu atatuibukia na KIJIKO (kikombe imeshatosha kila kona sasa)......Huwa wanaanza vivi hivi....
 
usiogope,wewe amin tu.hakuna lisilowezekana kwa mungu.mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.you are all blessed.amen!
 
someni isaya 66:22 mpaka na zaidi na 25 uone Mungu atakavyo fanya
 
Back
Top Bottom