KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,468
Mlidhania nichama cha chamchezo?
Nichama chenye weredi tazama sasa CCM mnavyo hangaika mnarushiana makombora mara huyu aliniambia hili mara lile,Hata huyo Katibu Mkuu aliyechaghuliwa naona anashindwa kuwakemea au kuwavua uanachama!Bado mnaweweseka!Wewe unacheza na CHADEMA weye!