Wezi!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
May 17, 2011
660
99
Hivi kufungwa kwa wezi wa sh bilion 1.8 za EPA, Rajabu Marando na Hussein, kutasaidia kupunguza uwizi au ndo changamoto kubuni mbinu mpya?
 
Uwizi?what kind of language is this?af jibu lake magamba wanachakachua tuuu, wezi wapo kitaa wanakula bata,chambo ndo zinapanda basi la kijani, af mpango mzima jion chambo zinapelekwa kitaani asubuh zinarudi jela kuzuga! Acha kabisaaa, hi nji ni sayari tofauti na unavyodhani weee! Wez wa visweleswele vyenye mdondo na watoto wa wakulima ndo wako jela halaaaa!
 
Back
Top Bottom