Viongozi hawataki suluhisho la kudumu la umeme

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
UGANDA NA ZAMBIA WANASEMA WANAWEZA KUWAUZIA TANZANIA ZAIDI YA 600MW LAKINI UPANDE WA TZ WANASEMA MIUNDO MBINU YA KUSAFILISHA UMEME HUO NI MIBOVU.source amka na bbc kwenye mkutanao wa mpango wa kugawana nishati wa nchi 7 ikiwemo tz.
WAZIRI WA NISHATI UG ANASEMA LINAWEZEKANA ILA KUNA UBINAFSI WA NCHI WANACHAMA
 
Ni kweli kbs, hata January Makamba jana alihoji uhalali wa kukodi mitambo kuzalisha umeme kwa bil 500, wakati mwisho wa siku mitambo sio ya kwako, alipouliza Tanesco wanasema eti kununua itachukuwa muda mrefu zaidi. Ss huo muda mrefu tangu wawe na wazo la kukodi mitambo, si hakuna umeme mpaka leo? Huo uharaka uko wapi. SONGAS wana mitambo isiyotumia gesi ya kuweza kuzalisha mw16o, hatutaki hata kuwaza kuiwasha, tunakodi mitambo ya kzalisha mw 2oo
kma bil 5oo. This is creazy! Kenya wanasema tunawabania kuhusu kupat umeme kutoka kusini chini ya sadac, ambao tungeweza kunufaika na hiyo grid kwa mw zaidi ya 6o kwa waya tu kupita kwetu mpaka wanatushangaa.
 
Back
Top Bottom