Chadema in dodoma

ebrah

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
396
50
Jaman wanajamvi, jumamosi na jumapili nilikuwa Dodoma, nikasikia tetesi kuwa CHADEMA kitakuwa Dodoma siku ya jumapili jioni, na nililazimika kuondoka kurudi Dar mchana, je kuna mtu yeyote mwenye Habari kuhusu hili?
 
CHADEMA si kiko Dodoma siku zote? Kwani hakina ofisi huko? Au ulitaka kuuliza kama viongozi wakuu wa CHADEMA wangeongoza maandamano Dodoma?

Tunadai viongozi wa serikali wawe makini. Na sisi je?
 
Jaman wanajamvi, jumamosi na jumapili nilikuwa Dodoma, nikasikia tetesi kuwa CHADEMA kitakuwa Dodoma siku ya jumapili jioni, na nililazimika kuondoka kurudi Dar mchana, je kuna mtu yeyote mwenye Habari kuhusu hili?
Kwahiyo ndio uliogopa maandamano hadi kubadili mawazo ukarudi Dar, au vipi?...Watu waoga kama ninyi hamtufai...NIngekuwa mimi ningekubali ku'risk hata kazi iliyonipeleka!
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Back
Top Bottom