Watanzania mngependa badget ijayo iendelee kumkamu mtanzania ?.toa maoni yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania mngependa badget ijayo iendelee kumkamu mtanzania ?.toa maoni yako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tusichoke, May 23, 2011.

 1. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wana JF zikiwa zimebaki siku chache kabla ya badget kusomwa bungeni nimeona ni vema tushiriki kutoa maoni yetu kwa serikali juu ya hali ya maisha ilivyo hata kabla ya badget ya kodi kuanza kujadiliwa.Kwa mfano bei ya mafuta,nauli,sukari,nafaka na vinginevyo zipo juu.Wenzetu kenya inasemekana serikali yao iliondoa au kupunguza ushuru katika mafuta.Je kwa hali ya maisha ilivyo hivi sasa itakuwa busara kwa serikali yetu kuongeza kodi kwenye bidhaa ? Binafsi naona kodi isiongezwe bali wafute misamaha kwenye makampuni ya madini kwani haitunufaishi sanasana ni migogoro tu na wananchi
   
Loading...