Meya wa Arusha apata aibu kanisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya wa Arusha apata aibu kanisani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Michael Paul, May 23, 2011.

 1. Michael Paul

  Michael Paul Verified User

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Ilikuwa ni kanisani baada ya mchungaji kumkaribisha kama mgeni rasimi kwamba wananchi wamshike mkono , ndipo watu wote wakatoka kanisani na kumuacha mwenyewe. Ilikuwa ni fundrising event katika kanisa la kkkt elerai.
   
 2. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mwaka huu sijui chama changu kitatoka vipi!!

  ngoja nimbip anko mukama tudiscuss!
   
 3. K

  Kiwembe Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi anayo na uchaguzi ujao hapati kitu lazima aanguke 2 hakuna jinsi
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  nape ningekuwa na private email yako ningeforward hii kitu kwako
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  aise yaani huyu jamaa hana bahati maana mimi nikimuona maeneo kama ya elerai lazima atoke na ngeu..
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
   
 7. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Jamani hadi kanisani wanakisusia chama cha magamba,mwaka huu kazi wanayo maana kila sehemu hawakubaliki.Poleni sana wapenzi na wanachama wa chama cha magamba.
   
 8. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Safi waumini, hao waumini walijua angekugusia kuhusu gamba party. Hongereni
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dah CDM wanasumu mbaya, siasa mpaka makanisani! Sasa hayo pia mafundisho ya Mungu au ya CDM?.
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wewe punguza muknari mkuu, yaani unamananisha mkikutana peke yenu mnaweza kuzichapa kavu kavu, tehe tehe tehe tehe. Aisee pa moja hapaingii mbili.
   
 11. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Labda akajaribu kwa wale jamaa walio onywa na mufti huenda akapewa support kubwa kwani huko ndo siku hizi kuna support kubwa ya magamba!
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hhahahaha...wanatengwa mpaka kanisani?!Mbona kazi wanayo!!
   
 13. Yusuphsabury

  Yusuphsabury JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Huyo mstahiki anatakiwa ajivue gamba kwanza!
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mchungaji Haule naye alianzia wapi kumwalika huyu mtu mwenye Nuksi namna hii?
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  saint ivuga mcheki kwenye nnauyen@gmail.com. Namba 0786131977
   
 16. n

  nchasi JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Ukweli unaanza kuonekana. Bado kidogo tu wataona aibu hata kusimama mbele za watu
   
 17. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sas cjui bro mukama atafanya nini !!! kimeshanuka hivyo.....chama kinayeyuka kama vile konokono aliyemwagiwa chumvi...
   
 18. z

  zamlock JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  siajiuzulu
   
 19. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  duuh kwa kweli hii kali na natumaini mama watoto hakuwa pembeni coz ingekuwa mimi nazimia tayari, hii ni aibu ya maisha, kwa kweli hata kama ni cheo au pesa aibu kama hii cheo na fedha haisafishi.
   
 20. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakufaa kabisa kualikwa kanisani huyu labda kama anataka kutubu
   
Loading...