Ulishawahi kucheza mchezo huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulishawahi kucheza mchezo huu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Garmii, May 17, 2011.

 1. Garmii

  Garmii Senior Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ktk maisha mtu lazima upitie hatua mbalimbali then ufikie utu uzima,
  nakumbuka nikiwa mtoto tulicheza michezo mingi ya heshima tofauti na watoto wa cku hizi mzazi ucpokuwa makini mchezo wao niwa baba na mama!
  Michezo tuliyocheza enzi zetu ni pamoja na kuruka kamba,tikiri,mchezo wa kujificha,utengenezaji wa magari hasa wakati wa mavuno,ukutiukutu, kioo kioo alikivunja nani,kujipikilisha.......................
  Mingine nisaidieni loh! uzee jamani nimesahau....!!!!!
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tiyari bado, kombolela ,marede,kila mbakishie baba, bong'oa, mputo ....
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mimi nakumbuka kufuga samaki, gapi, blaki moo, gapi pezi, kidoa n.k.
   
 4. c

  ccr airtel Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we michezo gani hiyo unaongea watoto wa skuiz playstation ndo michezo ukimkuta anacheza mpira hata messi haoni ndani
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Dah! umenikumbusha mbali....
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  yani watoto wa siku hizi waanza ufuska tangia wadogo, kibaba baba, basi utawakuta wamelaliana kama wanavyoona kwenye tv.
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  umesahau red hapo wewe.
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Senksi kwa kunikumbusha, tip ya msingi ilikuwa kutowawekea chakula cha mafuta.
   
Loading...