Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watanzania tumekuwa na utamaduni wa kuadhimisha siku na matukio mbalimbali. Swali la kujiuliza ni kwamba tuaadhimisha siku hizo kwa mazoea tu au zinatusaidia katika maendeleo. Zifuatazo ni siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana Jf mara nyingi nimekuwa nikiona kupitia tv, mke wa rais akiwa katika matamasha na sherehe mbalimbali Ikulu huku akiwa na wake wa mabalozi, sasa mimi nilikuwa nauliza hivi kunakuwa pia...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Tunaambiwa hakuna fedha, watu wamekosa mishahara, huko Rukwa au Katavi, waalimu wana mishahara hawajalipwa karibu shilingi milioni 60, lakini Waziri Mkuu yupo Uingereza, fedha zimetoka wapi? Je...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Watanzania mazuzu tunapigwa changa lingine la macho. Safari hii ni bilionea mtoto anchuku, alafu mnaambiwa wa marekani, kwa kuwa wa Tz wakisikia mmarekani wanajua Mungu mdogo kaja. Kwa nini...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Ukiona Ukiona watu wazima wa jinsia ya kike kama wanavyoonekana pichani wanajiunga kwenye maandamano na mikutano ya aina ya harakati za Chadema ujue moto umekolea jikoni, kuuzima si rahisi maana...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakati akikimbia kutoka Misri Nabii Mussa alikutana na wachunga wanyama mjini Mediani. Hawa jamaa hawakuwa na busara hata kidogo, na walikuwa wakiwanyanyasa mabinti waliowatangulia kwenye malisho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HATIMAE KOCHA BORA DUNIANI ANAZIDI KUONEKANA,POLENI WAPINZANI,MTATIMUA SANA MAKOCHA,Wapenzi wa Man u,hongereni sana,bado moja 28/5.ndio tutakamilisha kazi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Only in blessed country like TZ The fashion forward hippo that looks like she's wearing pink boots By Daily Mail Reporter She looks like a well-heeled hippo with a penchant for pink boots as...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mujibu wataarifa Aliyeachiwa kurithi mikoba/utaalamu wa sheik yahaya ni mwanaye mkubwa aitwaye Hasan. Kijana huyu kwa mujibu wa zito kabwe kupitia gazeti la mwananchi ni KADA wa muda mrefu wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nape Mnauye, Katibu Mwenezi wa CCM Na Saed Kubenea KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye sasa amebeba "gunia la kokoto" na hajui...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Heshima kwako mheshimiwa. Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za dhati kwako, kwa hamasa kubwa uliyoileta kwenye siasa za Tanzania hasa kwa vijana. Wewe ni kiongozi shupavu, ninaposema...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
SINA ugomvi na kaulimbiu ya zamani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) – “zidumu fikra za mwenyekiti.” Katika maisha ya sasa ya CCM hii inayoporomoka, inayotapatapa, inayojivua gamba na inayoishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From MARC NKWAME in Arusha, 22nd May 2011 DAILY NEWS KENYAN authorities have started promoting the herbal 'magic cure' at Samunge Village in Loliondo Division, Arusha Region, urging foreigners...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiweka credit unatumia muda mrefu lakini usizime computer. Ukizima computer unapokuja kuwasha na kulog in inakula balance yote iliyokuwa imebaki hata kama ni nyingi kiasi gani. Lengo lao ni kila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hali isiyo ya kawaida jana jioni wanafunzi wa mwaka wa kwanza kitivo cha misitu ( wanafunzi wa wildlife na forest) ambao jumla yao ni zaidi ya wanafunzi mia mbili (200) katika chuo cha kilimo cha...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau za Leo, Naomba kujua wapi wanapatikana ma editor na bei zao, kwa ku edit dissertation ya page 125. Kazi iko tayari ila inahitaji kupita kwa editor kwa ajili ya Ngeli tu na si vinginevyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilisikia mapema kuwa dunia ingeisha tr 21/05/2011. Nimejisahau nikajikuta nimefika tr 22. Naomba mniambie kilichotokea jana. Dunia iliisha jana? Nataka ukweli ili nichunguze mahala nilipo na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
NDUGU WATANZANIA WENZANGU , YULE MTABIRI, MGANGA,MCHONGANISHI NA MCHAWI MAARUFU TANZANIA NA AFRICA MASHARIKI AMEFARIKI JUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI BAADHI YA VIONGOZI WAKE AKIWEMO MH...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
leo ni siku ya tatu tokea mgomo wa daladala uanze mjini morogoro. watu wamekuwa wakitumia usafiri wa tax na pikipiki zijulikanazo kama bodaboda kama njia mbadala kutatua tatizo hilo ambalo kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Arusha sasa hivi ukitembea mjini kwenye kuta utakuta matangazo yanasema kuanzia tarehe 4/5/2011 siku ya tangazo hilo lilipowekwa hadi kufikia siku 60 mtu au watu au vikundi vilivyojihusisha kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…