Pinda in London? Fedha Zimetoka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda in London? Fedha Zimetoka wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rev. Kishoka, May 23, 2011.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tunaambiwa hakuna fedha, watu wamekosa mishahara, huko Rukwa au Katavi, waalimu wana mishahara hawajalipwa karibu shilingi milioni 60, lakini Waziri Mkuu yupo Uingereza, fedha zimetoka wapi? Je kulikuwa na ulazima wa yeye kwenda Uingereza huku hali ya uchumi ni mbaya?
   
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mbona hakuna taarifa zozote kwenye chombo cha habari cha aina yoyote
  kaingiaje VIP au ile ya kwetu walala hoi
  kwenye bibi katuchoka, hata kupitisha kasentensi kama maneno mawili tu pale kwa chini kipindi wanasoma taarifa nyingine hakuna, prince wa baharma juzi niliona kawekewa mkeka mwekundu kabisa
  wanafata nini mbona ni kama hakuna welcome kabisa
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,469
  Likes Received: 19,853
  Trophy Points: 280
  kaenda kufuata ile pesa cha chenge? BAE
   
 4. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mazingira yanaenda na sisi!!

  Mtoto wa mkulima imebakia jina tu.

  Hivi gharama ya hizi safari zao haziko public?
   
 5. n

  niweze JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wasanii kweli wamejaa serikali za ccm. Huku Tanzania wanaendelea kuwadanganya wazee vijijini kama tunavyoona kwenye hizi images za kutoka daily news, tbc, itv na vyombo vinavyotumia mali za wananchi

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Mbaya zaidi ni hii hapa

  [​IMG]

  Tunafahamu jinsi tour zao huko nje ya nchi, gang la wahuni linaambatana nao na hotels wanazokaa, inawezekana wanakwenda kuleta umeme kwa watanzania. Watanzania tuungane kuwaondoa hawa wasanii kwa haraka kabla hawajamaliza resources za watoto zetu.

  "Mind is real terrible thing to waste"
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wizara ya Mazingira ipo chini ya Pinda? Inaonekana wamekati MTI Hai kuwashia Moto wa Chai yao...

  The Environment Degradation Government!!!
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Probably, ila tunataka waliohusika na scandal hiyo wachukuliwe hatua maana hakuna wizi usiokuwa na mwizi! Otherwise, we are building a lawless country!
   
 8. i411

  i411 JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wana tumia credit cards kula leo walipa miezi sita ijayo
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hawa viongozi wetu utafikiri wamechaguliwa kufanya utalii!!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,469
  Likes Received: 19,853
  Trophy Points: 280
  we are nor building, we are inside already
   
 11. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mh.............................!!!!???
   
Loading...