Dowans Imeuzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dowans Imeuzwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mboja, May 22, 2011.

 1. M

  Mboja Senior Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Watanzania mazuzu tunapigwa changa lingine la macho. Safari hii ni bilionea mtoto anchuku, alafu mnaambiwa wa marekani, kwa kuwa wa Tz wakisikia mmarekani wanajua Mungu mdogo kaja. Kwa nini marekani huyo mnunuzi asitoke Urope. Hiyo ni RIDHKIBAHA AU RIDHCHALINZE?
   
 2. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Atakayenunua Dowans ya safari hii aondolewe kwa maandamano. Kwani swali la kujiuliza ni hili: DOWANS na hiyo mitambo yake hawawezi kwenda kuzalisha umeme sehemu nyingine ila Tanzania tuu??? Mitambo inazunguka hapa hapa kutafuta kuhalalishwa iwe ya hapa, HATUTAKI NA WATANZANIA WA KWELI TUIKATAE HIYO MITAMBO. Iondoke hapa na kama inaenedelea kuchafua mazingira basi itaifishwe ili tuiteketeze isionekane ka Osama alivyosahaulika.
  Linapotajwa jina DOWANS masikio ya wengi yanaingiza maumivu miilini mwao kama kuna wanaopenda kulisikia waanzishe nchi yao waipeleke mitambo hiyo kwao. Kondomu mbovu zimetoka marekani, mitambo mibovu inamilikishwa na mmarekani na anaishawishi TANESCO kuinunua, ikinunuliwa hiyo mitambo shirika libadirishwe liitwe KIKWETENESCO na izalishe umeme PWANI TU kwa faida na hasara yao wenyewe:tonguez::tonguez::tonguez::pound::pound:
   
Loading...