Njaa na kiu ya haki - CHADEMA

Njaa na kiu ya haki - CHADEMA

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
​
6.jpg
Ukiona
25.jpg

Ukiona watu wazima wa jinsia ya kike kama wanavyoonekana pichani wanajiunga kwenye maandamano na mikutano ya aina ya harakati za Chadema ujue moto umekolea jikoni, kuuzima si rahisi maana akina mama hao wanajua namna ya kuuchochea hadi chungu kishike moto vizuri ili kuivisha chakula.
 
4.JPG

Ukiona watu wazima kama hawa wameacha shughuli na vikao vyao kumfuata Dr. ujue ngoma imelia kweli na kusikika mbali
 
Mjengwa kwenye mada yake kasema..'nilikutana jamaa wa CCM, akaniambia...agh mikutano ya chadema imejaa wavuta bangi tu' ..Mjengwa akamjibu..'kama bangi ya siku hizi inashawishi watu wengi hivi waende kwenye mikutano basi ni nzuri kuvuta'...akaendelea...'ukiona wanamama wengi nao wanaelekea kwenye mikutano ya CHADEMA basi sio kitu tena cha kubeza...na hadi hao wanamama wanavuta bangi kwenda kumsikiliza Dk. Slaa''....Nawakilisha!!
 
Jamani, This is very good. Tunaomba picha zaidi. Halafu mbona picha za Bilali alipokuwa Mara ziarani hazikuwekwa hapa? Tungelinganisha kuona ni wapi wamepewa T-shirt kuhudhuria lakini pia wingi wa watu.
 
Mjengwa kwenye mada yake kasema..'nilikutana jamaa wa CCM, akaniambia...agh mikutano ya chadema imejaa wavuta bangi tu' ..Mjengwa akamjibu..'kama bangi ya siku hizi inashawishi watu wengi hivi waende kwenye mikutano basi ni nzuri kuvuta'...akaendelea...'ukiona wanamama wengi nao wanaelekea kwenye mikutano ya CHADEMA basi sio kitu tena cha kubeza...na hadi hao wanamama wanavuta bangi kwenda kumsikiliza Dk. Slaa''....Nawakilisha!!

https://www.jamiiforums.com/habari-...245-ujio-wa-chadema-iringa-tafsiri-yangu.html

Hii kweli inatia huruma!...Kuna matumaini makubwa sana ndani ya wamama hawa juu ya cdm!..Mungu ibariki Tz!

4.JPG
 
Back
Top Bottom