Waume wa mabalozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waume wa mabalozi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAMBLER, May 23, 2011.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana Jf mara nyingi nimekuwa nikiona kupitia tv, mke wa rais akiwa katika matamasha na sherehe mbalimbali Ikulu huku akiwa na wake wa mabalozi, sasa mimi nilikuwa nauliza hivi kunakuwa pia na umoja wa waume wa wamabalozi???
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Umoja wa Wanawake wa CCM = UWT,

  Je kuna Umoja wa Wanaume wa CCM?
   
Loading...