Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 264
Ukiweka credit unatumia muda mrefu lakini usizime computer. Ukizima computer unapokuja kuwasha na kulog in inakula balance yote iliyokuwa imebaki hata kama ni nyingi kiasi gani. Lengo lao ni kila ukiwasha computer na kulog in ujaze vocha mpya.
Lakini pia kasi ya connection yao inakuwa slow mno kiasi kwamba unaweza kutumia masaa tano kufanya kazi ya saa moja.
inaudhi, inachelewesha, inakera sana
Lakini pia kasi ya connection yao inakuwa slow mno kiasi kwamba unaweza kutumia masaa tano kufanya kazi ya saa moja.
inaudhi, inachelewesha, inakera sana