Dr slaa nayekupata ulinzi wa mikoba ya sheikh yahaya husein

Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
32
Kwa mujibu wataarifa Aliyeachiwa kurithi mikoba/utaalamu wa sheik yahaya ni mwanaye mkubwa aitwaye Hasan. Kijana huyu kwa mujibu wa zito kabwe kupitia gazeti la mwananchi ni KADA wa muda mrefu wa CHADEMA.Kufuatia urithi huo niimani yetu kuwa ule ulinzi alokuwa akipata JK , sasa utahamia kwa dr slaa. Kwa upendo wa kijana hasan kwa chama chake lazima ahakikishe viongozi wake wanakuwa salama. CDM msihofu tena kiongozi wetu atakuwa salama.
 
Good analysis ila mtu alazimishwi kupewa ulinzi na Dr. slaa hajawahi kuomba ulinzi.

Kijana ni kada tu wa CDM na siyo kosa ila ni kosa kuhusisha ukada wake na ulinzi wa DR Slaa.
 
Ukada na huo urithi vina uhusiano gani??
Wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kujidhalilisha kwa kuandika visivyo na kichwa wala miguu.
 
Good analysis ila mtu alazimishwi kupewa ulinzi na Dr. slaa hajawahi kuomba ulinzi.

Kijana ni kada tu wa CDM na siyo kosa ila ni kosa kuhusisha ukada wake na ulinzi wa DR Slaa.

hata jk hakuwahi kuomba huo ulinzi ila kwa mapenzi yake mwenyewe alijitolea hivyo hata slaa inawezekana.
 
Kwa mujibu wataarifa Aliyeachiwa kurithi mikoba/utaalamu wa sheik yahaya ni mwanaye mkubwa aitwaye Hasan. Kijana huyu kwa mujibu wa zito kabwe kupitia gazeti la mwananchi ni KADA wa muda mrefu wa CHADEMA.Kufuatia urithi huo niimani yetu kuwa ule ulinzi alokuwa akipata JK , sasa utahamia kwa dr slaa. Kwa upendo wa kijana hasan kwa chama chake lazima ahakikishe viongozi wake wanakuwa salama. CDM msihofu tena kiongozi wetu atakuwa salama.

sio tu mwanachama kwa taarifa yako pia aligombea udiwani magomeni kwa tiketi ya chadema, ila sidhani kama hili la unajimu linarithiwa kwa sababu ni elimu na sheikh yahya alisomea sina uhakika ka Hassan kasomea au la? so hoja yako haina msingi fanya kwanza utafiti usiropokeropoke kama Nape
 
Sioni connection yoyote ya huyo mtoto na Dk. Slaa kupewa ulinzi wa majini. Nadhani ulikuwa unataka kufurahisha genge.
 
makada wa CDM wako wengi mbona hatuwaoni kulinda. Hata huyo unayemtaja anaufahamu wa shighuli hizo siku nyingi mbona hakuwa mmoja wa walinzi wa Dr Slaa iweje leo. Puuzi kubwa wewe kakojoe ulale!
 
ulinzi atapewa usiwe na shaka kijana. Kwani hatatozwa gharama yoyote.
 
Back
Top Bottom