Siku za Maadhimisho zina tija katika maendeleo?

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Watanzania tumekuwa na utamaduni wa kuadhimisha siku na matukio mbalimbali. Swali la kujiuliza ni kwamba tuaadhimisha siku hizo kwa mazoea tu au zinatusaidia katika maendeleo. Zifuatazo ni siku tunazokumbuka kila mwaka:

Nyerere day, Karume day, Siku ya UKIMWI, Siku ya akinamama, Siku ya utamaduni, Siku ya mtoto wa Afrika, Valentine day, wiki ya usalama barabarani, siku ya mazingira, siku ya wauguzi, siku ya walimu, uhuru, Mapinduzi day, Muungano day, wiki ya kisomo, sikukuu ya wakulima, sikukuu ya wafanyakazi, krismas, Pasaka, Jumatatu ya pasaka, Maulid, eid al fitri, siku ya upandaji miti ....unaweza kuongeza orodha...
 
Back
Top Bottom