Malima amlilia shieh yahaya

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
NDUGU WATANZANIA WENZANGU , YULE MTABIRI, MGANGA,MCHONGANISHI NA MCHAWI MAARUFU TANZANIA NA AFRICA MASHARIKI AMEFARIKI JUZI
NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI BAADHI YA VIONGOZI WAKE AKIWEMO MH. MALIMA WALILIA SANA MAANA MAJINI YALIYOKUWA YANAWALINDA MKUU KAONDOKA NAYO, NI HERI AMEKUFA KABLA UCHAGUZI WA BAVICHA MAANA ANGEANZA TU NA UCHAWI WAKE TENA

ONA HAPA CHINI"Malima, akiwa makaburini alishindwa kujizuia na kujikuta akibubujikwa machozi na kumfanya kuwa katika wakatika mgumu kila mara hasa alipokuwa akiuangalia mwili wa mnajimu huyo"

KAZI IPO
 
Picha iliopo ni ya Kiongozi wa CUF akihutubia hakuna picha ya Mh. Malima... HELP !!!
 
picha haiendani...Ni sawa na mimi kuweka hii!;

rostam_election.jpg
 
Huyu kakurupuka.
BTW Humwonagi Malima anavaaga mpete mkubwa mkono wa kulia? ndo majini yenyewe hayo ya Sheikh Yahya, lazima alie mana anajua saiv lipete limebaki boshen tu
 
NDUGU WATANZANIA WENZANGU , YULE MTABIRI, MGANGA,MCHONGANISHI NA MCHAWI MAARUFU TANZANIA NA AFRICA MASHARIKI AMEFARIKI JUZI
NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI BAADHI YA VIONGOZI WAKE AKIWEMO MH. MALIMA WALILIA SANA MAANA MAJINI YALIYOKUWA YANAWALINDA MKUU KAONDOKA NAYO, NI HERI AMEKUFA KABLA UCHAGUZI WA BAVICHA MAANA ANGEANZA TU NA UCHAWI WAKE TENA

ONA HAPA CHINI"Malima, akiwa makaburini alishindwa kujizuia na kujikuta akibubujikwa machozi na kumfanya kuwa katika wakatika mgumu kila mara hasa alipokuwa akiuangalia mwili wa mnajimu huyo"

KAZI IPO

Shehe Yahya alikuwa mnajimu na mwanachama mtiifu wa CCM sasa kabla hajafariki alishamkabidhi makabrasha ya utabiri na uchawi wake kwa mwanawe Hassan shehe Yahya mwanachama mtiifu wa CHADEMA hivyo kuhamishia uchawi na majini toka CCM na kuhamishia CHADEMA HAYA NI KWA MUJIBU WA NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA MHESHIMIWA ZITTO KABWE.
HABARI ZAIDI GONGA HAPA.
Mshtuko: Sheikh Yahya kufariki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom