Kukatika kwa umeme kwasababisha wanafunzi chuo kikuu kufanya mtihani kwa mwanga wa mishumaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukatika kwa umeme kwasababisha wanafunzi chuo kikuu kufanya mtihani kwa mwanga wa mishumaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, May 20, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hali isiyo ya kawaida jana jioni wanafunzi wa mwaka wa kwanza kitivo cha misitu ( wanafunzi wa wildlife na forest) ambao jumla yao ni zaidi ya wanafunzi mia mbili (200) katika chuo cha kilimo cha sokoine, walianza mtihani wa botany ambao ulisimamiwa na mhadhili wa somo hilo prof. Temu, ambao walianza kukiwa na mwanga na mala baada ya kukatika umeme aliagiza mishumaa ya kutosha idadi ya wanafunzi na wanafunzi wakaendelea na mtihani kama kawaida. Ndugu waweza kujiuliza iwapo chuo kikuu kama hicho wanafunzi walifanya mtihani kwa kutumia mishumaa hali itakuwaje katika sekondali zinazomilikiwa na serikali na hata zile za kata?. nawasilisha wana jf.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,774
  Trophy Points: 280
  mkuu yupo Namibia wewe akirudi atafikishiwa hii habari
   
 3. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  unamaana mkuu akifikishiwa hiyo habari ndo umeme hutokatika tena? May b kama huyo mkuu ni pedeshe kiasi cha kuweza kununua mitambo ya dowans.
   
 4. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mitambo ya Dowans imeshanunuliwa na kampuni ya ki- marekani. Inatarajiwa kuanza kuzalisha umeme na kuiuzia Tanesco hivi punde. Source:RFA .
   
 5. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hili nalo neno!
  Ndo CCM
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,052
  Likes Received: 3,082
  Trophy Points: 280
  Nchi ambayo kila ki2 kimeshindikana
   
 7. b

  binti ashura Senior Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyo mhadhili ni mbunifu, na ningependa kumfaham alivyo. hivyo ndiyo vichwa tunavyotakiwa kuwanavyo huko tuendako. tunakoenda siyo kuzuri mvua zinasumbua, umeme unasumbua,maendeleo yanasumbua, wananchi wanasumbua,kila secta inasumbua, shule zinasumbua na vyuo vikuu vinasumbua hivyo tunahitaji watu wabunifu kila sekta.
   
 8. b

  binti ashura Senior Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tuliombee taifa letu lisiwe na mabalaa ya ajabu ajabu!
   
 9. k

  kituro Senior Member

  #9
  May 22, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nami nitakuwa mstali wa kwanza kuliombea taifa letu!
   
Loading...