Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wiki moja baada ya raia wa Burundi kuwaua Watanzania sita wilayani Ngara mkoani Kagera,CCM kimesema viongozi wa serikali wameuza nchi kwa raia wa kigeni. Hiyo ni kauli ya Mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani sana waungwana. Nimewahi kununua kitabu kimoja kiitwachwo -NDOA YANGU, NINGEJUA ambacho kwa hakika mtunzi alinisaidia sana kujua kwa nini ndoa nyingi za siku hizi hazina amani. Kutokana...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo katika kusikia mjadala wa budget, nilisikia msemo ulionifanya nitafakari, japo haukunistaajabisha:, "Nchi itajengwa na wenye moyo, na italiwa na wenye meno"!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia kosa la uhujumu uchumi lililotokea Novemba 26, 2010 la Ndege ya Jeshi la Qatar kuingia nchini na kubeba shehena kubwa ya wanyama hi, ni wakati sasa wa mawaziri kujiuzuru kwa kuifedhehesha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BBC News - 'East Africa embassy bomber Fazul Abdullah killed''East Africa embassy bomber Fazul Abdullah killed' Fazul Abdullah Mohammed, suspected of having played a key role in the 1998 US...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Jamani kuweni makini siku hizi hasa mitaa ya Posta na Kariakoo kumeibuka mtindo wa aina yake ya uporaji kwa abiria kwenye Taxi. Kinachofanyika hasa mida ya jioni kuna Taxi huwa zinasanya abiria...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza nilipata nafasi ya kumsikiliza slaa kwa utulivu last saturday pale tegeta road kwenye kongamano la chuo kikuu cha ardhi! Nasema kwa utulive bcoz tulikuwa watu wachache and wengi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu, AFRIKA kuna mambo! Kuna picha niliyotundika jana bloguni; mjengwa.blogspot.com iliyozua mjadala mkubwa kuhusiana na matumizi ya Serikali na hususan matumizi ya viongozi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The rising tide of gold prices has lifted the market value of Tanzanian Royalty Exploration (TRE) to ridiculous levels. The stock has gained over 350% from a 2008 low of under $2 to a current...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ANATEMBELEA MITAMBO YA DOWANS, HAPA NCHINI. JAKAYA KIKWETE ANACHEZEA NA AKILRI ZA WATANZANIA KWA KUENDELEA KUMULEA EDWARD LOWASA NA ROSTAM AZIZI AMBAO...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JAMANI, hivi nyumba za national housing wanaostahili ni watanzania wachache tu au ni watanzania wote? KWANZA KABISA NI NYUMBA ZA WATANZANIA WOTE, lakini, mbona wakati wa kupanga, wapangaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kufuatia kauli ya rais Jakaya Kikwete kuwataka viongozi wa dini kuacha mara moja kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya mwandishi wako Nova Kambota wa tovuti huru ya watanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawapongeza sana JF team kwa kudeploy technology kwenye kurasa zetu, zina muonekano mzuri na facilities/tools nyingi. Sijui ni office 2010 or whatever. Mimi nimefurahishwa nayo sana naomba...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Nimetafuta saana jinsi ya kuwasiliana na Mh. Lowasa nimekwama. Naomba mnisaidie E-mail yake au simu yake ya mkononi. Lengo langu ni kuwasiliana naye kwa mambo ya kawaida kama kushauriana...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Siku zinakwenda soon itakuwa 2015; muda huu ukifika badala ya kusema nitafanya hiki na kile nadhani itakuwa bora mkisema nilifanya hiki au kile, tena bila ya kuwa na fedha za kutosha, sasa tupeni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau kesho trh 11th JUNE hapa UDOM patakuwepo na Kongamano la katiba, watoa mada watakua ni prof. Shivji, Deus Kibamba na wengine wengi. Kuanzia saa 3-9 asubuh-jioni. Jitokezeni kwa wingi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wazee Washutumu Wanasiasa Kuvuruga Amani Tarime. Imeandikwa na Samson Chacha, Tarime. WAZEE wa mila kutoka koo 13 za Kabila la Wakurya wilayani Tarime wameshutumu kile walichosema kitendo cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania Kosa La Kulawiti, Adhabu Yake Ni Jela miaka 30 na Viboko 24! Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi kwa nini baadhi ya wanachama cdm wanapenda kujibu hoja zinazokikosoa chama chao kwa keajeli, dharau, na hata kwa matusi. je? aidhihirishi wazi siku cdm ikiwa chama tawala itawanyamazisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
World's Most Expensive Cities 2011 No. 1: Tokyo Quick lunch: $20.80 Beer at a bar: $10.56 Kilogram of rice: $9.80 Dozen eggs: $4.50 Movie theater ticket: $23.80 Although the consumer...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…