Natafuta E-mail ya Edward Lowasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta E-mail ya Edward Lowasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eedoh05, Jun 11, 2011.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nimetafuta saana jinsi ya kuwasiliana na Mh. Lowasa nimekwama. Naomba mnisaidie E-mail yake au simu yake ya mkononi.

  Lengo langu ni kuwasiliana naye kwa mambo ya kawaida kama kushauriana, kuhekimishana, lakini kujifunza kwake kwa mambo mengi mazuri anayoyaamini na kuyasimamia. NISAIDIENI, niko serious!
   
 2. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
 4. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Jamani enh! Mwenzenu nina maanisha katika haya niliyoyandika humu. Tuache porojo na mizaha wakati mwingineeee!
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hayo mazuri kwake ndiyo yaliyo mponza.
  Unataka kujipendekeza akuganjie? Huyo ni FP haangalii !
   
Loading...