Kitabu cha ndoa yangu, ningejua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu cha ndoa yangu, ningejua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kautipe, Jun 11, 2011.

 1. k

  kautipe Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani sana waungwana. Nimewahi kununua kitabu kimoja kiitwachwo -NDOA YANGU, NINGEJUA ambacho kwa hakika mtunzi alinisaidia sana kujua kwa nini ndoa nyingi za siku hizi hazina amani. Kutokana na ukweli ulioanikwa ndani ya kitabu hicho, nimekuwa nikikitumia sana kuwasaidia watu wengi hususan vijana wanaotaka kuingia katika mambo ya ndoa, na pia kuwasaidia wale wote wanaokuja kwangu wakiwa na matatizo ya ndoa. Nikiri kwamba, wengi wamenufaika sana. Tatizo langu ni kwamba, kitabu hiki kiliazimwa na rafiki yangu ambaye ametokomea nacho mikoani. Naomba mnisaidie kwa wale ambao mmewahi kukisoma wapi kinapatikana, maana kwa hapa Mwanza nimezunguka sana sijakiona!
   
Loading...