Dingswayo JF-Expert Member May 26, 2009 4,019 2,923 Jun 11, 2011 #1 Leo katika kusikia mjadala wa budget, nilisikia msemo ulionifanya nitafakari, japo haukunistaajabisha:, "Nchi itajengwa na wenye moyo, na italiwa na wenye meno"!
Leo katika kusikia mjadala wa budget, nilisikia msemo ulionifanya nitafakari, japo haukunistaajabisha:, "Nchi itajengwa na wenye moyo, na italiwa na wenye meno"!