JK kapanga njama kumusafisha lowasa mitambo ya Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kapanga njama kumusafisha lowasa mitambo ya Dowans

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ASKOFU MSAIDIZI, Jun 11, 2011.

 1. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ANATEMBELEA MITAMBO YA DOWANS, HAPA NCHINI.
  JAKAYA KIKWETE ANACHEZEA NA AKILRI ZA WATANZANIA KWA KUENDELEA KUMULEA EDWARD LOWASA NA ROSTAM AZIZI AMBAO WAMEFILISI NCHI NA KUTUACHIA MATATIZO MAKUBWA .

  RICHMOND NI KAMPUNI YA KITAPELI NA ILILETWA NA KIKWETE,ROSTAM NA LOWASA.
  KIKWETE ANATAJWA KUCHUKUA FEDHA ZA WAARABU MWAKA 2005 KWA AJIRI YA UCHAGUZI.
  MOHAMMED SULEIMAN YAHYA AL-DAW ANATAJWA KUWA ALITUMWA NA SERIKALI YA FALME ZA KIARABU KUJA KUFILISI TZ KUPITIA RICHMOND, DOWANS NA BAADAYE WALIMTUMIA ROSTAM AZIZI (sakarir) AMBAYE ALIKUWA NA NGUVU YA KISHERIA KUMILIKI DOWANS .

  HAIWEZEKANI DOWANS IKATOKANA NA RICHMONDI AMBAYO NI HEWA HARAFU WAMAREKANI WAKANUNUA MITAMBO ILIYOTOKANA NA UTAPELI.

  NI KWA NINI HAO WAMAREKANI WASINUNUE MITAMBO MINGINE HADI WACHUKUE MITAMBO ILIYOFILISI NCHI???


  KWA NINI SERIKALI YA MAREKANI INAJIINGIZA NA KASHIFA YA KUKAGUA MITAMBO YA UTAPELI???
  AL-DAW ALIPOKUJA SERIKALI ILIKANA KUMUTAMBUA NA HATA TANESCO ILIKANA KUMTAMBUA ,SASA INAKUWAJE LEO WAZIRI WA MAMBO YA NJE ANAYEWAKILISHA SERIKALI AJE ATAMBUE MITAMBO YA WIZI ILIYO FILISI TAIFA???


  HAPA TANZANIA HAKUNA KIONGOZI WA SERIKALI AMBAYE ALIWAHI KWENDA HAPO NA KUIKAGUA NA KUWATAMBUA WAMILIKI WAKE.


  HUU NI UDHAIFU WA TZ KUWAACHA WEZI WAENDELEE KUTUIBIA !!!!

  BILA SHAKA MUNGU ATATIKISA SERIKALI YA CCM NA ITABOMOKA KWA SABABU AKINA LOWASA NA ROSTAM WANALINDWA!!!:teeth::drum::redfaces:
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nawewe ni great thinker?
   
 3. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hillary atatembelea dowans nitaamini kuwa marekani nao hawana utawala bora , wala hawana nia njema ya kupamabana na rushwa ,ufisadi na wizi.

  Marekani wanafuga matapeli waliotuibia kupitia dowans na richmond
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Kuna kila sabbau ya kuwashitaki hawa Wamarekani na Waziri wao Clinton kwenye Bunge lao huko Marekani au kwa Republican!
   
Loading...