Chadema; Cuf; TLP; NCCR Mageuzi (Wapinzani et al) Tuonjesheni Utamu Mtakaotupa Mkichukua Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema; Cuf; TLP; NCCR Mageuzi (Wapinzani et al) Tuonjesheni Utamu Mtakaotupa Mkichukua Nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VoiceOfReason, Jun 10, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Siku zinakwenda soon itakuwa 2015; muda huu ukifika badala ya kusema nitafanya hiki na kile nadhani itakuwa bora mkisema nilifanya hiki au kile, tena bila ya kuwa na fedha za kutosha, sasa tupeni nchi tutafanya makubwa zaidi. Actions Speaks Louder than Words... na historia inaonyesha wabongo tuna short memory.. comes 2015 watu hawatakumbuka mliandamana mara ngapi.....

  Suggestion fanyeni mnaloweza kuwahudumia wananchi, tunajua kwamba hamna pesa kama Chama tawala lakini mnaweza kufanya madogo kulingana na uwezo wenu...

  Sio lazima impact iwe nchi nzima hata kama uwezo wenu ni wa kuhudumia mtaa mmoja tu na kuleta maendeleo ambayo mtaonyesha what you did when it comes 2015, kwa Chadema Mwanza mmeichukua kutoka kwa CCM let this be your showcase kwamba tutaifanya Tanzania kama tulivyoifanya Mwanza....

  Kwa wabunge, badala ya kusema tukatae posho au tupunguziwe mishahara kuweni mstari wa mbele kuzikataa hizo posho au kuzichukua na kuzipeleka kwenye maendeleo ya wananchi, am sure mbunge yoyote atakayesema kwamba mishahara ni mikubwa na ninapeleka 60% yangu kwa wananchi atakuwa an overnight hero.

  Kwa Chama kitakachofanya hayo nina uhakika hata wana-CCM damu when it comes 2015 watawapigia kura...., bila hivyo it will be business as usual and in 2035 we will still be talking the same story kama bado tutakuwa hai na nchi yetu ikiwa bado haijauzwa...
   
 2. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  You are the voice of reason... Well said mkuu!.. We need actions and not empty words! Ingawaje usisahau wabunge nao ni human beings kukataa posho ni wito aisee!..
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  utamu tuliopewa kwa sasa wa kujua yaliyo nyuma ya pazia hautoshi..
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu, lakini siasa inabidi iwe wito kwenda kuwasaidia wananchi na sio mtaji wa kujitajirisha
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kujua peke yake yaliyo nyuma ya pazia bila kuyatafutia muafaka haisaidii sana..., pia kumbuka kuna watu hawaamini kama wanayoyasema ni ya kweli, hata kama wanaamini watayasahau baada ya muda mfupi....... (kumbuka Dowans sasa ni Msamiati, wakati kipindi fulani ndio ilikuwa ni kiunganishi katika sentensi..
   
Loading...