Tahadhari:.Staili mpya ya wizi na uporaji kwenye Taxi Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari:.Staili mpya ya wizi na uporaji kwenye Taxi Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Jun 9, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Jamani kuweni makini siku hizi hasa mitaa ya Posta na Kariakoo kumeibuka mtindo wa aina yake ya uporaji kwa abiria kwenye Taxi. Kinachofanyika hasa mida ya jioni kuna Taxi huwa zinasanya abiria watano kwa elfu 2 toka Posta na Kariakoo kumbe ndani ya wale abiria wanne pamoja na dereva lao moja wewe ukiongezeka kutimiza idadi ya watano gari inasepa lakini wanakupeleka chobingo na kukupora Simu, pochi, saa na hata viatu n.k

  Kuweni makini na Taxi 'bubu' hizo za mujini
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Thanks for alert.............ila waswazi bwana, hawaishi mbinu za kuibia watu
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Twashukuru kwa angalizo mkuu
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thx mkuu ila ya longtime
   
 5. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hiyo style ilikuwamo kitambo,wameirudisha tena kwa mtindo tofauti,ahsante mdau tumeinyaka...
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  maisha bora kwa kila mtanzania
   
 7. z

  zamlock JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nashukuru na mimi nilikuwa nazikimbilia sana
   
 8. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Bora Mtanzania kwa Kila Maisha
   
 9. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Na kama mrembo wanabaka...
   
 10. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yap imemtokea jamaa yangu, kuweni makini majirani zangu..
   
 11. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Maskini hawana cha kupoteza. Hii hali ngumu ya maisha cjui itatufikisha wapi. Vijana wanatafuta coping strategy
   
 12. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania tunaelekea kubaya, tutawazidi wanigeria muda si mrefu.
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  asante mkuu.
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu wamelizwa sana kwa mtindo huo
   
 15. W

  Wavizangila Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bure gharama
   
 16. M

  Masanyaraz Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maisha magumu,ajira hakuna,watu wanakaa vijiweni kinachoendelea nikubuni jinsi ya kusukuma siku,kama hivyo mzee!
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  yote hii nisababu wale wenzetu wa kile chama wanajilimbikizia mali wkt kuna sisi wenzao hatuna kitu,hatujui kesho itakwendaje!asa kwanini watu wasbuni wizi kila uchao????????
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  yote hii nisababu wale wenzetu wa kile chama ambao wameamua kwa maksudi kujilimbikizia mali wkt kuna sisi wenzao hatuna kitu,hatujui kesho itakwendaje!asa kwanini watu wasbuni wizi kila uchao????????
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Kama unaona ya longtime uwe anapandaga tu usiku, wala hata usihofu
   
 20. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mtaji wa masikini ni nguvu zake mweyewe!
   
Loading...