CCM yakiri serikali yake kuuza nchi kwa wageni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yakiri serikali yake kuuza nchi kwa wageni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mutabora, Jun 11, 2011.

 1. M

  Mutabora Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wiki moja baada ya raia wa Burundi kuwaua Watanzania sita wilayani Ngara mkoani Kagera,CCM kimesema viongozi wa serikali wameuza nchi kwa raia wa kigeni.

  Hiyo ni kauli ya Mwenyekiti wa chama hicho mkoani Kagera Costansia Buhiye aliyoitoa wakati akijibu malalamiko ya wananchi wa kata ya Kabanga waliodai raia wa Burundi wamepatiwa ardhi kinyemera na viongozi wa serikali.

  “Ni hatari kwa viongozi wanaotekeleza ilani ya chama kuamua kuuza nchi kwa wageni, CCM na serikali yake haitakubali kuuzwa hata kipande cha ardhi ,tumevua gamba kwa kuonyesha matendo mema na kuacha uongozi wa mazoea”sehemu ya nukuu ya mwenyekiti huyo ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu(CC)
   
 2. n

  ngwini JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu c Burundi ni Rwanda
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nenda kisarawe huko,mwekezaji kapewa hekari mia 8,analima mibono,raia wanalalamika hawajapewa fidia.....jana bbc waliirusha hiyo habari
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mie nawaambieni hii serikali ya CCM ni uozo mtupu watanzania mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na mbiu ya Amani wakati wenzenu wanatafuna utajiri wa nchi hii kadri wanavyopenda, nyie mnabaki na amani na umaskini mkubwa. FUKUZA CCM TIMUA Magamba hukoo rudisha kila kitu chetu kutoka kwa walioiba, funga wote waliohusika na mikataba mibovu halafu tunaanza upyaaaa kuipanga nchi yetu, lkn tuikenua meno tuu eti nchi ina amani wakati tunabaki maskini wa kutupwa akina RACHEL wanapeta tu. FUKUZA CCM SASA KWA MAENDELEO THABITI!
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ama kweeli tuanpelekwa porini.................
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Wewe mkulima mzawa mlalahoi unauziwa square meter moja sh 24000!!!
   
Loading...